Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Josam na kibo 10 naona haka ka avator kana soko
 
kauliza kuna tikiti ngapi?..hzo habari zenu za kuunganisha mpate "tikiti nzima "..mnatunga swali lenu kwanini usijibu km ulivyoulizwa?..angekuwa na shida ya mazima angesema tu..maana kinachoonekana ni vipande vya tikiti kwann usivihesabu kisha ukasema idadi ya ulichoona?.. tatizo kila mtu kusikia atakuwa giniasi km atajibu kwa usahihi kawehuka!..Watz bhanaa...jibu swali km ulivyoulizwa usijitungie la kwako ebo
 
Hakuna matikiti hapo, wala huwezi kuyaunganisha! NI picha za matikiti
 
yapo 6 mkuu! tupe jibu sasa hiyo 1/2 zipo 4!
 
Hamna tikiti wala matikiti hapo,pana vipande vya matikiti tu ndio tuvionavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom