Unaweza kuhesabu rows 3 AU columns 3 zote zitakuja jibu KUWA tikiti hapo Ni 3. Hata hivyo haihitaji genius kwa swali la kitoto kama hili. Na katika wote waliojibu hakuna genius. Hata mimi sio genius. Ni vizuri kujua genius maaana yake ni nini. Aina hii ya watu wapo wachache sana. Tena wengi wapo vijijini. Mjini hakuna genius.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.