Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1454504014.109950.jpg

Kuna Matikiti mangapi kwenye hii picha?
 
Zote ni tikiti hapo. ukiziungaunga unapata tikiti nzima tano
 
Kuna matikiti 6, Yale yaliokatwa yatabaki vile vile coz zile nusu nne zimekatwa kimapana na zile robo zilizomiss zimenyofolewa kiurefu so half nne zikiungana zinatoka mbili+ yale manne = 6,
 
Dah.... ndiyo maana wanao faulu somo la hesabu hawafiki hata 1%! Hesabu ni janga haaa?!
 
Back
Top Bottom