Kama washauri wenyewe wa Chadema ndio hawa...

Chahali kachambua vizuri sana, kitengo cha intelijensia CHADEMA kimepwaya. "
Siri nyingi CHADEMA walikuwa wakipewa na Lowasa na mtandao wake waliokuwa serikalini na ndani ya CCM.Baada ya mtandao ule kuvujwa serikalini na ndani ya CCM siri hazitoki hovyo tena si kwamba Chadema walikuwa na intelligencia kali
 
Mb
Hakuna siasa chafu,nakumbuka 2013-2015 chadema ilipokea wana ccm wengi sana...hizo hazikuwa siasa chafu za chadema wala chadema haikununua mtu...
Nina uhakika leo hakuna anayenunuliwa...Ila watu hawaoni mwelekeo wao,hawaoni kesho yao....
Wapo wengi wanatamani kuondoka....Ila hawajui njia yakupita....

Siyo jambo lakufurahisha....Mbowe hajawahi kuwa kiongozi makini....[/QUOT Gulio linaendelea.Mbona unataka kutufanya wote ni vipofu mkuu.au uelewa wako ni mdogo au ndio ushabiki wenyewe. Unaacha ubunge unakwenda kugombea ubunge tena kwa wananchi walewale.nani hajui watarudi kwa nguvu ya dola na tume hii ya uchaguzi mali ya ccm.Ngoja turudi chama kmoja tuone jinsi utashabikia.
 
Mmh!! Eti CDM ilikuwa na idara ya INTELIJENSIA iliyokuwa hodari mno,yayumkinika kusema"hodari karibu au hata zaidi ya TISS".

Mwisho wa kunukuu, kweli TISS unalinganisha na idara ya INTELIJENSIA ya CDM,upo serious au kupamba story tu?
 
Cdm is body is weakening but people spirits are awakening. They ask why?!
 
Zinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?

Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Hizo hbr anazopata lisu na mange ni zipi?
 
Chahali una ugomvi binafsi na Yericko mtafute mmalizane.

Pia intelijensia ya Chadema ikijua fulani atanunuliwa siku fulani then itangazwe ndiyo huyo mtu ataghairi kununuliwa??
 
Chadema imepoteza wabunge wawili ndani ya takriban masaa 48. Kila anayefuatilia kwa karibu matukio haya anaifahamu drill: CCM watakaa pembeni wakiwa na kicheko kikubwa huku "waasi" kutoka Chadema wakifanya kazi ya kukaanga chama hicho kikuu cha upinzani. Then Chadema watakuja na script Ileile "acha waondoke. Chama bado imara." Baada ya hapo, maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.

Ni rahisi kuilaumu CCM kwamba inatumia mbinu chafu "kulazimisha" wabunge na madiwani wa Chadema kujiunga na chama hicho tawala. Hilo la mbinu chafu ni kweli, na ni chafu kwelikweli. Kwa kifupi, nyenzo muhimu inayowezesha hamahama hiyo ni ile "ya Putin kwa Trump" yaani KOMPROMAT. Ileile ambayo JIWE anafanyiwa na "Mtu Mrefu Paulo." Yawezekana kabisa kuwa mbinu hii ambayo ni maarufu sana katika "sistema" huko Russia ikihusisha mashushushu, inaweza kuwa ni "msaada wa kiutawala" kwa Jiwe kutoka kwa "Mtu Mrefu Paulo."

Uzuri wa "kompromat" ni kwamba it usually works, tena kwa ufanisi. Fanikiwa kupata compromising info kuhusu mlengwa, basi huyo anakuwa mtumwa wako wa kudumu. Labda kuna siku nitapata wasaa wa kueleza hili kiundani ila ninachoweza kueleza kwa sasa ni kwamba hamahama hii inaambatana na udhalilishaji mkubwa ambao baadaye hutumika kwenye "kompromat."

Lakini Chadema haiwezi kukwepa lawama kwa haya yanayoisibu. Wakati flani, chama hicho kilikuwa na Idara ya intelijensia iliyokuwa hodari mno, yayumkinika kusema "hodari karibu au hata zaidi ya TISS." Hii ilikuwa Chadema ya enzi za kina Dokta Slaa. Ilikuwa both defensive and offensive. Defensive kwa namna ilivyoweza kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama from CCM na kitengo. Offensive kwa namna ilivyoweza kujipenyeza serikalini na hata TISS na ndio maana iliwezekana kuibua skandali mbalimbali kama EPA, Richmond, nk.

Ninaweza kusema bila kusita kuwa laiti ingekuwa zama hizo, hawa wanaohama wangejulikana kabla hawajafanya "surprises" hizi za mfululizo. Kusema "ah huyu alikuwa mzigo" ilhali hamkumtimua mpaka akawakimbia ni utoto wa kisiasa. Kudai "acha waende" ilhali hatuambiwi kuwa "huyu na yule kamwe hawawezi kuhama" ni mzaha.

Kwa uelewa wangu, kuna wabunge wengine kadhaa wapo njiani kuhama. Na kama unadhani hizi ni porojo tu, zingatia "ubashiri" wangu huu nilioutoa majuzi na umetimia

Chahali tumekusoma ila mimi nina machache kwako:

Inawezekana una ushauri au mawazo mazuri wakati fulanifulani, hata hivyo hoja zako zinakosa tija mara nyingi kwa sababu kadhaa. Labda nikuambie chache kwa ujumla wa kauli zako ziada ya uliyoitoa hapa

Sikiliza Chahali: Wewe ni mtu unayejivunia sana kuwa afisa wa usalama wa taifa utadhani wewe ndio mtanzani apekee uwewahi kufanya hiyo kazi au wewe ndio ulikua mkurugezi mkuu wa TISS au afisa bora kuliko wote. Hakuna kitu unaandika au unasema bila kuingiza ama hisia, kauli, misemo, uzushi, misiamiti, na mbwembwe za mwanausalama. Hivi kama kila daktari, mhandishi, mwalimu, mwanajeshi, mkunga, na wengine kwenye taalama zao watakua wanazitumia katika kujenga hoja au kuonesha umuhim wao au kuelezea mambo ya kijamii, tutaelewana kweli? Unataka kumfanya kila mtu anayekusoma aone usalama wa taifa ndio kazi bora, nyeti, na ya maana kuliko zote hivyo mtu aliyepita huko basi yeye ni mjuaji wa kila kitu, anajua siri nyingi na ni wa kuogopewa. Huu ni uzushi. Una miaka zaidi ya 10 tangu umekimbia hapa nyumbani, siri zote ulizoondoka nazo kwa sasa sio siri tena na zimepitwa na wakati. Wengi uliofanya nao kazi wengine wamebadilika kwa mengi na kustaafu. Labda uliotuacha vijana wadogo tukianza kazi ndio tumebaki na kumbukumbu zako. Ni uzushi uliopita mipaka kila siku kuwaaminisha watu kwamba wewe una siri za nchi, una siri za serikali, unajua CCM inafanya nini, unajua Rais anahusikaje na kitengo, na mengine. Unatumia habari za kuokoteza mitandaoni kujenga taswira isiyo sahihi kabisa juu ya ujuaji wako na unautumia kupotosha. hakuna intellejensia unayoijua kwa sasa zaidi ya kwenye vitabu na maandishi mengine ambayo kila mtu anaweza kujisomea. Huwezi kua nje ya kitengo kwa miaka zaidi ya 10 na bado ukajidai unajua utendaji wake.

Sikiliza Chahali: Unapenda kujifanya wewe ni mjuaji sana wa mbinu na mikakati ya kisiasa. Ila kwa taarifa zako ambazo wewe mwenyewe umezijaza mitandaoni, hujawahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi wa CCM wakati unakitumikia na kukisaidia kuiba kura. Hujawahi kusimama jukwaani wala kupigiwa kura. Hujawahi hata kuteuliwa kusaidia kazi za kisiasa. Ila ni ajabu sana unapokua mtaalamu juu wa wataalamu wote kuhusu siasa. Moja ya makala yako ulituambia jinsi ulivyohusika au kujua kama afisa wa TISS kuiba kura za wapinzani kuanzia mwaka 1995.. huo uzoefu sidhani kama CDM na wapinzani wengine wa kweliu wanauhitaji.

Sikiliza Chahali: Wewe ni kigeugeu, huna msimamo, na huna moral values za kuwanyooshea wengine vidole. Kwanza hadi leo hujawahi kutuambia watanzania nini kilikukimbiza Tanzani ukaenda kujificha huko Uingereza. Umebaki kujisifia ni afisa usalama mstaafu na kuitaja Scotland kama utambulisho wako na kama mafanikio yako makubwa. Wewe ulikua unaipinga CCM kwa miaka mingi lakini 2015 ghafla ukageuka kuwa mpiga debe wa CCM hata kuliko wenye chama chao. Hazijapita siku nyingi ukatuandikia kitabu cha kumsifu Magufuli ambacho leo hata wewe mwenyewe unakikimbia na huwezi kuikiongelea.. ulaji ulipokata CCM (ulituambia kwenye Makala uliyomwandikia Kinana) ghafla ukageuka kuwa mpinzani mkubwa wa mtu uliyempigia kampeni. Napata wasiwasi labda hakukupa asante na mshiko kwa kumuandikia kitabu cha kumsifu. Ulikua unabeza na kuwadhalilisha viongozi wa CDM mitandano ghafla ukaanza tena kuwa mtetezi wao. Umeona CDM hakuna ulaji na malipo kama uliyolipwa na CCM wakati wa kampeni sasa umegeuka kuwa KUNGWI wa kuwafundisha siasa na namna ya kupambana na CCM huku ukiwa umejificha nyuma ya kompyuta huko Uingereza. Unatoa wapi huo ujasiri wa kuwasema CDM wakati wenzako wako katika uwanja wa vita wananusa harufu ya damu?

Sikiliza Chahali: Tuchukulie kwamba una nia njema ya kuisaidia CDM au wapinzani wengine ambao wewe hutaki kujiunga nao. Ila umewahi kuona wapi askari walio kwenye kikosi cha mapambano wanaanza kudharauliana na kukebehiana hadharani na mbele ya adui wanayepambana naye? kwa nini usiwe unawasida CDM na wapinzani wengine kimkakati kwa kutumia huo utalaamu wako unajigamba nao? Kama unajua CDM haina kitengo cha intellejensia na wewe ni mwana intelejensia kwa nini usijiunge na kuwaonesha una msaada? unataka kila unachofanya dunia nzima ijue na kisiposikilizwa ghafla unageuka kuwa mkosaji. Ni mtu ambaye hajui ugumu wa siasa za Tanzania chini ya JPM pekee kama wewe anayeweza kuwa jasiri anayeweza kuwa na ujasiri wa kutumia muda mwingi kuwakosao na kupambana na watu kama CDM na wenzao wachache kama kina Zitto na Mtatito ambayo wameyaweka maisha yao rehani kuwasemea watanzania wasioweza kujieleza. Wewe uliyejificha nyuma ya kompyuta au simu yako, kikubwa ungewasaidia nyuma ya pazia kwa taarifa na mikakati kama unayo na sio kuwabwekea hadharani kila mara na kwamba hawashauriki.

Sikiliza Chahali: Inawekana kukaa huko ulikojificha kumekupa mwanga wa mambo kadha wa kadha kwa sababu zilizo wazi. Ila ni uzushi kutaka kuwaaminisha watanzania wewe unajua kila kitu. ninapopita kwenye miaandishi yako mitandaoni wewe ni mtaalamu wa kila kitu. unafundisha watu kila kitu kuanzia IT, mitandano, usalama, busara, maadili, biashara, uandishi, siasa, jinsi ya kufanikiwa, nk. Halafu ukiulizwa hata maswali ya kawaida kabisa ya ufafanuzi unakua mkali sana na kuanza kuporomosha matusi na kushambulia watu. Kwa umri wako na utaalamu unaojigamba unao havifanani kabisa na matusi unayotukana watu mitandaoni.

Sikiliza Chahali: Nikushauri kua inapokuja kwenye siasa za hapa Tanzania chini ya uongozi wa kikatili na kiimla uliopo, kama nawe hufurahishwi nayo huko nyuma ya kompyuta uliko jitahidi tu kutoa maoni na kukemea kama wengi wafanyavyo. Ila huna kabisa uwezo na mamlaka ya kimaadili na ujuzi wa kuwafunisha CDM au ACT au CUF namna ya kufanya siasa za kuimarisha vyama vyao, kuzuia watu kuhama, na namna ya kukabiliana na serikali inayoendeshwa na mitazamo katili. Kama vipi njoo ujiunge kwenye chama hata cha Dovutwa ili nawe ufanye harakati za kupambana na CCM uone inavyofanana. Maumivu tunayoyapata hapa nyumbani yanatuondolea kabisa uvumilivu wa kumsikiliza mtu yoyote anayetumia nguvu kuwakosoa wanaopambana kwa ajili yetu, tusio na vyama, wenye vyama, na hata walio ndani ya CCM na wamenyamaza kwa uvumilivu wakiogopa kupigwa wao na shangazi zao. Waache CDM na vyama vingine vyenye nia ya dhati ya kupammba na ukatili unaondelea wafanye waanachoweza.

Sikiliza Chahali: ninapomalizia nikushauri wewe na mtanzania mwingine yoyote aliye ndani ya nchi au huko nje kokkote nyuma ya TV au kompyuta ambaye anachukia yanayoendelea nyumbani, tafadhali watieni moyo sana wanaopambana kwa ajili yetu. Wawe ni ACT, CDM, CUF, NCCR, au watu mmoja mmoja wenye ujasiri wa kusema au wanaotumia mitandao kuandika kinyume na ukatili na ungozi mbovu unaota mizizi kila kona, watiwe moyo na wasidiewe nila kujali madhaifu yao yasiiyo na madhara kwetu. Askari asiyejua kushika silaha au kulenga shabaha asaidiwe au kufundishwa namana ya kufanya lakini isiwe kumzoea kwamba hajui kupigana au ni dhaifu.

Ni mimi afisa mwenzako (ila sijakimbia wala kusatafu)

Mutumishi wa umma
 
Thanks Mtumishi wa Umma

This is a Sucker punch to that looser.
 
Swali zuri sana.

Mke wangu juzi karudi shopping kaninunulia bazee la kijani, limedariziwa njano.

Hapa nimekaa najifikiria sijui nivae?
Vaa mkuu! Tupia na kabendera kadogo cha mkononi, halafu na wimbo.
Ndege yetu ileeeee
Raisi wetu yuleeee.
Hapo lazima kieleweke, ni mwendo wa kusaka fursa tu.
 
Mkuu daah kumbe we afisa unatuchora humu ndan haya twambie saa nane yupo wap hafu kingine trilion 1.5 zipo wap kuwa mzalendo mkuu mi ntakulinda[emoji23]
 
Nimemuelewa vizuri. Kuna lawama anazitupa kwa CDM , anasahau political situation ya sasa. Nawewe hujanijibu viswali vidogo nilivyouliza, ila umekuwa emotional vile vile. Labda kama Chahali anailamu CDM/viongozi wake kwa kuogopa risasi, vifungo, vipigo then he is right! Huu ni wakati mgumu sana, sawa na Rwanda! Ukisema tu unapotea, who dares? Mbowe anajaribu lkn maisha yake wakati wowote yatatoweka. Wangapi wa kuwa na ujasiri huo? soma hili la Lisu
Lissu ajibu shutuma za Ruzuku, athibitisha bila Mbowe kuchanganya na zake hakuna kinachofanyika, wanao hama waende
Yours is a dull party. There are million ways of doing politics in Tanzania. The problem is dwarfism facing your party together with its entire leadership, which is conversant with only one way/approach of doing politics in the country - the non-committal non accountable political campaign. Does your party have permanent qualified personnel, office infrastructure (including live internet connectivity), active party organisation machinery, et la? And if not why? The reason is obvious. Mbowe's inner motive is more of focussing on making money than leading the party to victory. That is the real compromise factor your party and members altogether must endure. Try dissecting your party to know this and perhaps more maladies it has compromised.
 
Last edited:
Chahali . Una miaka zaidi ya 10 tangu umekimbia hapa nyumbani, siri zote ulizoondoka nazo kwa sasa sio siri tena na zimepitwa na wakati.
Chahali bwege tu.Ofisi ya seikali ukiondoka hata mwaka mmoja tu usije jifanya unaijua ofisi uliyokuwa kunakuwa na mabadiliko mengi waweza kuta hata mea uliyokuwa unakalia iiyokuwa inaangalia dirishani imegeuzwa inaangalia mlangoni.Mtu kaacha utumishi miaka kumi iliyopita hana cha kujidai anakijua ni mpiga porojo na majungu tu huyo Chahali miaka 10 anakuwa so outdated na useless
 
Zinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?

Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Uko sahihi mkuu!
 
Back
Top Bottom