Acha ndoto dogoZinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?
Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Rudi darasani o level pengine utaelewa kuchambuaZinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?
Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Kuna wakati nilikua naiamini sana chadema,baadae niliwaambia marafiki zangu Mimi chadema siwaamini tena inakuwaje viongozi wake wananunuliwa kijinga hivhivi Kwa mfano hawa viongozi wangepewa nchi so wangetuuza asubuhi kabisa...hili ni soma Kwa chadema,watu tumetoil huko vyuoni kuijenga chadema tunauchungu nayo tumerisk masoma yetu Kwa ajili ya chama ila linapo kuja swala uteuzi wanawateua watu wanaowajua wao and now time has come they have to pay the priceSometimes huwa najiuliza! Kununuliwa? Basi kama ni kununuliwa, it's too much and no justification!!
Kwangu naona ni ujinga kwa CHADEMA kuwashutumu Wabunge wake kwamba wananunuliwa! Naona ujinga kwa sababu, hiyo biashara itakuwa ina-confirm only one thing kwamba: CHADEMA nayo imejaa a bunch of cheap politicians with price tags!
Hili ni jambo la aibu lisilofaa kuongelewa kwa mikogo!!
Endapo CHADEMA wangeshinda 2015, hawa akina Waitara wangekuwa ndo mawaziri wetu!
So, endapo leo hii CHADEMA inatuambia Wabunge wake wananunuliwa na CCM, sasa baada ya kuwa mawaziri wangeshindwa vp kununuliwa na mabepari ya kimataifa yanayotafuta money making deals in Tanzania?! Tuna oil and gas hivi sasa! Ni very corrupt industry duniani!
Lakini linapokuja suala la kompromat; tufanye kusikia tu! Hiyo ni habari nyingine! Kila mtu ana kitu ambacho asingependa kifahamike! Na wataalamu wakikukusudia; hata kama upo clean; unaweza kuwa setup!
Kwenye kompromat hakuna ujanja; yakikukuta; usishangae kukuta hata radicals kama akina Sugu na Lissu; ukakuta kesho wanaanza kuimba nyimbo za CCM!
Hata kama Evarist Chahali anaweza asiwe sahihi, but we've to think of this possibility as well!
Malcom Lumumba, JokaKuu
Urudi ww darasani.Rudi darasani o level pengine utaelewa kuchambua
Kwakweli na blames zote zimweleker mwenye kiti.Kuna wakati nilikua naiamini sana chadema,baadae niliwaambia marafiki zangu Mimi chadema siwaamini tena inakuwaje viongozi wake wananunuliwa kijinga hivhivi Kwa mfano hawa viongozi wangepewa nchi so wangetuuza asubuhi kabisa...hili ni soma Kwa chadema,watu tumetoil huko vyuoni kuijenga chadema tunauchungu nayo tumerisk masoma yetu Kwa ajili ya chama ila linapo kuja swala uteuzi wanawateua watu wanaowajua wao and now time has come they have to pay the price
Sio ndoto.. just a theory so usiamini.Acha ndoto dogo
He hee, kwa iyo blaza wewe ulikuwa unamwamini mange kimambi.Zinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?
Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Theory Na ndoto Ni Yale yaleSio ndoto.. just a theory so usiamini.
Mbona umeandika kama mlevi wa pombe?Si ndio wewe unajuaga kila kitu na kupayuka kwa maandishi...
Eeeeeh leo naona usingizi uliukosa..
Jilaumu na nyie mnaopiga porojo mitandaoni.. kuwa wasemaji wa Chama.. na wao kuamua kuwaachia uwanja huku wenyewe wanachojali ni matumbo yao kwanza.
Kila mkiandika ni kudakia yanayofanya na CCM.. eeeh
Wewe lini umewahi kuandika juu ya nchama chako tu hata angalau kuhamasisha?
Ukila ukilala CCM.. wewe moyo upo CCM na mwili Chadema.. eeeeeeh
Kumbe u bomu unalia lia leo ha ha haaaa
HAWANUNULIWI.. WANAKIMBIA UOZO, CHAMA KILICHOJICHIMBIA SHIMO LA FUTI SITA NA KUDUMBUKIA WENYEWE..
Habari za Mange zinafurahishaga sana kwamba Wasafi Radio+Tv inamilikiwa na Kusaga hahahZinawezekana sana. Unadhani operatives wote wa TISS wanapenda yanayoendelea? Hata na wao pia wanafamilia, wanaishi uraiani kama sisi.
Kama una bisha, Mange anapataje habari za humo ndani? Lissu alikuwa anazipataje?
Sema tu sasa hiv chama hakina watu wenye ushawishi tena. So wale operative wa TISS hawana imani kabisa nao hata kama wakiwavujishia habari.
Hoja sio kununuliwa kwavile wanafuata maslahi bali hoja ni kwamba, ni jambo la fedheha kwa watu waliofikia hadhi ya ubunge kuweza kununuliwa!!Unasahau kuwa kwa sasa haya hayaonekani CCM kwa vile kuna mkate kule. Unaamini say CDM au chama chochote mbali na CCM kikiwa madarakani wakahubiri ujinga huu wa kununua watu, walio sasa CCM hawatatoka? Hawatanunuliwa? Tafakari zaidi, usiishie karibu!
Asikudanganye mtu!! Issue sio kwamba eti TISS ya sasa sio ya zamani bali CHADEMA ya sasa ndo siyo ya zamani ambayo watu walikuwa tayari ku-risk na kuwapenyezea taarifa nyeti!!!Kupata taarifa kwa TISS ya sasa not easy like that braza. Kitengo kwa sasa kina endeshwa kwa weledi na uzalendo. Wataishia kupata tetesi zisizo na uhalisia. Weewe unasikia hata siku izi Siri za vikao vya state house au vikao vikuu vya chama zinavuja kama zamani. Mambo yamebadilika sana na kiukweli nimeiamini ule msemo kuwa mtu mmoja anaweza kubadilisha mambo kabisa.