Kama wao wanavaa zetu; kwa nini nasi tusianze kuvaa zao?!

Sisi hatuna butt kubwa kwa hiyo hatutapendeza. Tutaonekana tu kama sketi imechomekwa kwenye mti.
 
Dudu litakaaje apo tutakojoaje..Haiwezikani wengine Jogoo la wika Kila Dakika 10..wavae Mashoga

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sasa mbona nyinyi ni washamba, mshawahi kuona vazi la taifa la watu wa fiji na scotland, mbona wanazifaa bila taabu.
Check below




Huyo Prince Charles in Kilt and wears nothing underneath




Njagu wa Fiji hao
 
Issue si ushamba ni je nasi tuanze kuvaa hapa Bongo.
Mfano tuanze kwa madereva wote na makonda hizi ndo ziwe suti zoa.:wacko:
 
Nawashangaa kuwa hamjui kuwa Tanzania hilo ni vazo la kawaida kabisa enzi na enzi, vikoi hamvijui? wangine wanaita "msuri" (kutokana na asili ya wale wa Sur (Suri), Oman). Mbona ni vazi la kawaida tu hilo, mitindo tu inapishana.
 
Kwa sisi walokole biblia inasema "Haimpasi mwanamume kuvaa vazi la kike na hivyo hivyo kwa mwanammke."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…