Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

Ishi maisha yako usifatilie upuuzi wa bunge maisha yatakuwa kawaida kwako. Eti kisa tulia mwanamke ndo apewe uspika? Siku zote bunge linaendeshwa kwa kupewa maelekezo cha kufanya. Ila bora ya ndugai.

Waafrika hatuna tabia za kuwajibika pale tunapokosea, sasa jiulize ilikuwaje ndugai akajihuzuru? Alikwepa fedhea maana wale watu walotumwa wamfosi aachie ngazi ni maelekezo kutoka juu.
Utamfanya nini mwenye madaraka yake? Ana kauli za ajabu sana, bora angekuwa anabaki nazo moyoni.

Mtu anasema mchana kweupe eti fulani asigombee afu anajiita mwana demokrasia kha!

Eti anawaambia wananchi, nani kasema sitogombea? Mapema hivi ashawaza kugombea tena?
Mnavyomsifia sasa bure kabisa. Hii katiba mbovu kweli.
Miaka 7 ilopita nilisoma hii katiba nikasemba mbona ya kipuuzi sana? Sikujali coz niliona inaendana na akili za kiafrika.

Juzi tu ndo niliona katiba hii ni ya ajabu sana. Yaani mtu analala usingizi kuamka asubuhi katiba inamuita amka njoo ukae hapo ki laini laina anza kushusha order kha.
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi
Hakuna watu niaowashangaa kama wewe mawazo kama yako. Yaani mlitegemea Spika bora toka Bunge bovu kama hili lililopo?
 
karibia 80% ya wabunge wa CCM walipewa Ubunge na chama chao pamoja na Tume ya uchaguzi. Sasa kukigeuka chama kilichokusaidia kuhangaika na mabox ya kura mchana kweupe inakuwa kazi ngumu mno.

Hawa wabunge watapangiwa cha kufanya na SERIKALI na hilo halina ubishi, as of now TULIA anasuburi kuapishwa tu kuwa Spika hakuna wa kuguna.
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Wengi wao walibebwa ktk uchaguzi wa 2020 walibebwa na mwendazake na hawakushinda, leo wakalete za kuleta? thubutuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kwa sasa hatujapata kizazi kinachoweza kujitoa kwa ajili ya wengine yaani ni bado sana, kila mtu anapambana kupata mkate wa wanae tu.
Hii nchi bado haijapata kiongozi mwenye hofu na wanaompa nafasi, siku ikifika nadhani hata jeshi linalowalinda hao vongozi watasema sasa basi, ngoja wananchi wenyewe watoe muelekeo ilihali wao wanaaangalia usalama.
 
Kwanza kuendelea kuzungumzia habari ya Spika kwa watu wenye akili timamu ni kujidharau.Pale HAKUNA bunge lolote Kuna upuuzi tu unaendelea kwa miaka mitano.watu wameingia bungeni kwa Dhuluma na wanakaa kwenye viti pale bungeni kwa Dhuluma.Hata MUNGU anajua hili na anawatazama tu.na aliyetuacha hv MUNGU alimchukua na sijui kama waliobaki WANAFANYA kazi ya LIJITAFAKARI.Na huwezi pata BARAKA kwa KUDHULUMU.
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Waliliona hilo ndiyo maana wamepelekewa jina moja tu ..... TULIA!!
 
Kulikua na nafasi ya vyama vingine kuweka mgombea pia, wabunge wa CCM hawana huo ubavu wa kukataa yule anasubiri kuapishwa tuu
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Sio nchi zinazotuzunguka tu, bunge la sasa la Tanzania ni la hovyo kuliko mabunge yote ulimwenguni na peponi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom