Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

Kwani kampeni zimeanza? Kila siku bunge dhaifu ila mmeshindwa kufikia huko. Tuheshimu waliotutangulia na wenye nacho. Kwa lugha nyepesi upinzani uheshimu CCM maana ndio wanaowapa tonge na CCM hao hao ndio roho ya wananchi
Tema mate chini,una maana gani kusema CCM ni roho ya wananchi?Kwahiyo CCM ikifa na wananchi wamekufa?Shwain!
Wananchi walikuwepo kabla ya CCM na watakuwepo tu bila hata ya uwepo wa CCM!
 
Tunasubiri wabunge wastaafu walio wajanja wa CHADEMA waanze kwanza kumwambia Mbowe HAPANA.

Halafu wabunge wajinga qa CXM watafuata.
Ndiyo umeandika lugha ipi hiyo? Mbona kama ni ya koromitje?
 
Tema mate chini,una maana gani kusema CCM ni roho ya wananchi?Kwahiyo CCM ikifa na wananchi wamekufa?Shwain!
Wananchi walikuwepo kabla ya CCM na watakuwepo tu bila hata ya uwepo wa CCM!
CCM imewatoa mbali sana Watanzania huko mbali enzi za ukoloni. Waasisi wa CCM wamepita madhira mengi sana kuhakikisha wananchi tunaishi maisha haya ya furaha na amani. Hayo mengine mnayoyataka itakuwa mnatumiwa vibaya na wakoloni au ni kuvimbiwa amani iliyopo kwa sababu tu hamjuo tabu walizopata wana CCM hadi kufikia sasa.
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Wewe ulitaka nani awe spika wa bunge?? Tukuachie ww unaejua sana lakini binafsi tulia anafaa..msomi, muaminifu hana kashfa lakini pia analimudu bunge
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Wabunge hawa wakuteuliwa na jitu katili unategemea nini
 
Kama kura zitatamkwa live basi hakuna wa kusema hapana kwa uoga; kama zitakuwa ni siri ya mtu basi wanaohesabu wanaweza kwa bahati mbaya kuona hapana ni ndio (iliyoandikwa vibaya)
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Wabunge hawana la kufanya kwasababu mapendekezo ya nani awe spika hayafanywi na wabunge. Chama kimeshampendekeza Tulia na hana mpinzani. Hata akipata kura moja inamtosha

Bunge letu ni la kijinga sana, linashindwa hata kujitungia sheria ya jinsi ya kumpata kiongozi wao. Bunge la vyama vingi lakini spika anapatikana nje ya bunge tena anateuliwa na mkuu wa chama kilicho madalakani. Alafu watz tunategemea kuwa na bunge makini😡😡
 
CCM imewatoa mbali sana Watanzania huko mbali enzi za ukoloni. Waasisi wa CCM wamepita madhira mengi sana kuhakikisha wananchi tunaishi maisha haya ya furaha na amani. Hayo mengine mnayoyataka itakuwa mnatumiwa vibaya na wakoloni au ni kuvimbiwa amani iliyopo kwa sababu tu hamjuo tabu walizopata wana CCM hadi kufikia sasa.
Kwanza wakati tunapata uhuru hiyo CCM haikuwepo!TANU Ilikuwa Kwa ajili ya kila mtanzania ambaye alitaka uhuru wa taifa letu!
Misingi yote ya TANU ni tofauti na hii CCM ya leo!
-Liko wapi azimio la Arusha lililokuwa na miiko ya utumishi wa Umma!
-Nyerere alikataa madini yetu yasichimbwe mpaka pale tutakaposomesha wataalamu wetu na kuwa na ufahamu wa madini Ili hata mikataba tutakayoingia basi isiwe ya kinyonyaji Kwa kukosa maarifa!CCM ikaja ikafanyaje?
CCM hii ikifa,itakuwa ahueni Kwa taifa hili!Sasa hivi wanaCCM wameambiwa wale Kwa kujipimia,shame!
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Hawana ubavu huo. Rungu litakalo tumika kuwaponda ni upigaji kura. Kura za siri hazitaruhusiwa!
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Ndugu hakuna wa kusema Hapana hapo.
 
MaCHADEMA mleteni Antipas ni yeye agaragazwe tena Na Tulia. Hovyooo sana nyie
 
Back
Top Bottom