Hajazaliwa kwa aina iliyopo pale mjengoniSijaona mbunge wa kusema HAPANA
Atapata kura zote za wabunge wa CCM.Wanajamii bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka kwahili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe...
Ndugai??? HahahaSijaona mbunge wa kusema HAPANA
Hafai kwa sababu zipi??Wanajamii bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka kwahili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia...
Wakisema hapana naweka nyeti zangu live TBC 1Wanajamii bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka kwahili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe...
Acha kukariri.Aliyeandika hata sura yake uliwahi kumuona?Chadema kweli mmepagawa
Angalia makala zake na comments zilizopita zinajitanabaisha ni chademaAcha kukariri.Aliyeandika hata sura yake uliwahi kumuona?
HahahahaNdugai??? Hahaha
Angalia makala zake na comments zilizopita zinajitanabaisha ni chadema
Mwaka 2030 huenda jina la mgombea urais likapatikana kwa mtindo huu huu. Mbeleni demokrasia itakuwa finyu zaidi kuliko tulikotoka.Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa...
Tuendelee hotelini masuala haya tuwaachie wenyeweSidhani kama huyo ni Chadema kwamba itakuwa imefufuka nakumbuka ilijifia tangu enzi za JPM