Kingcobra
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,000
- 309
Jamani,
Bila shaka, wengi wenu mmeona jinsi wenzetu waarabu walivyoingia mitaani kupinga tawala za kibabaishaji. Wamevumilia wameshindwa. Hatua ya mwisho waliyoona inafaa ni kuingia mitaani kushinikiza viongozi wao waondoke madarakani. Kama waarabu wameweza, kwa nini sisi tusiweze au hali yetu bado haijafikia hatua mbaya kama wao?