Kama vya yule nanihii

Kama vya yule nanihii

jamaa flani hivi anapendaga kuvaa miwani! anajiita mshana jr!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji84] [emoji83]
bea7287a37afccd7d8a984aed18ed907.jpg
 
Vinatia kinyaa pitu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Ngoja nimtaje sasa...
Huyu mwenye makucha ka dege joni ni nanilii yule wa pale naniliu aaah nimemsahau jina...
We mshana jr hujaTULIA kabisa aisee ndo nini sasa kuleta picha ya mavidole ka reki!
 
Ukiwakuta wamekaa sehemu utasikia wanaitaji mwanaume anaejitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom