Kushika mafiga muda mrefu, mlozi akienda kuloga mke anashikishwa mafigaAsante kwa kutuwekea vidole vya wifi yetu, taratibu kuna siku utaweka sura nzima.
Dah...ongeza sauti bandia...bajeti bandia.....halafu utasikia wanataka mwanaume wa ukweli[emoji13] [emoji13]BANDIA...kucha bandia,nywele bandia,makalio bandia,mwendo bandia,kufika kilele bandia,tabasamu bandia,kicheko bandia,uaminifu bandia,vipodozi bandia.....yani n mwendo wa BANDIA
Huyo kuvaa gloves au
Utadhani ndizi za kuchoma!!
Faiza foxMtaje mtaje mtajeee akurupukee
Umemtaja kisanii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wataanza kusema ni za FaizaFoxy lol
Mmm mbona vidole kama vile vya kuku aina ya kuchi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]huyu akifika kileleni si atakutoa utumbo
jamaa flani hivi anapendaga kuvaa miwani! anajiita mshana jr![emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa nani!