Kama vipi liuzwe kila mtu achukue chake

Kama vipi liuzwe kila mtu achukue chake

Kiduara

Senior Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
113
Reaction score
180
Kwani imekaaje hii kitu, iweje wenye yai lao wanawatazama tu wala yai wanavyo fanya uharibifu kiasi hiki, kama vipi liuzwe kila mtu achukue chake.

a3be943ccd65c99f05fa287f5bf872e8.jpeg
8723e07bcf96eab956279bdfa4a120cb.jpeg
26239453aea6cdfe3a8fac8d9fbbd668.jpeg
 
Naona hapo solution ya yai Ni noma unachagua demu kutoa jibu Kama lile ghorofa lake City Utah na inakuaje Uganda wote waambie gharama walizotumia na Muda kidogo nilichomoka.
 
Hapo tatizo ni gharama maana huwezi kuta yale mafuriko yakahamie sehemu za uwandani wakati wakongwe wanajua dakika 90 zinaamua mchezo iwe bei ya jumla au rejareja.Ifike wakati katiba iheshimiwe na figisu za benchi la ufundi haziamui uwekezaji wenye tija!
 
Kila mtu fundi..mwingine anajenga..mwingine anaona hapafai anabomoa
 
Back
Top Bottom