Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,500
2,781
Asitegemee madili makubwa makubwa kumfata, hakuna kitu kinaitwa kuwa na nyota, kuna mpango, ama ikufate moja kwa moja au uifate!
IMG-20221005-WA0081.jpg
View attachment 2378001
 
Kuna documentary nilikuwa na itizama National Geographic, hizi surgery zikifanywa na madaktari wa kuungaunga ni too risks.

Ila dada zetu hawa sikii na hawambiwi.Kuna dada mmoja yeye nae anabonge la shape,ila lilikuwa limeanza kutengeneza rangi ya brown,yy aliandika mpaka kitabu cha hayo madhara na akawa ana watembelea wasichana wanaotaka kuongeza makalio na kuwasihi wasijaribu hiko kitu.

Mwengine nae alikuwa analipwa kwa zile appearance kwenye maclub nae likianza tako lilianza kubadilika rangi ,bahati nzuri wali muwahi wakaondoa matoxic yote kwenye makalio.

Nakumbuka miaka ya nyuma Maria Sarungi alikuwa na kipindi chake kinaitwa Changamoto, kuna mdada mmoja alimwalika kwenye kipindi chake nae anabonge la tako ,mpaka limekuwa kelo na anasikia maumivu kwenye mgongo.

Nasikia dada zangu siku hizi wanakimbilia Uturuki, sasa huko hao madaktari ni certified au ndio mafundi Maiko. Manake wasiwaige akina Kardashian wale wenzao wanaenda kwa maproffessional na hela wanayo.
 
Ila kapata umaarufu na hella kwa mda huo
 
Hivi unajua hiyo surgery ya kuondoa hizo toxic materials katumia kiasi gani?

Miss Miami alihangaika kumtafuta, Dr ambaye ana utaalamu wa kuondoa hizo toxic kwa kipindi kirefu. Husizani ni swala dogo na kuna wengine zile toxic zina ingia mpaka kwenye mishipa ya damu na kuharibu mapafu,kusafisha na kuondoa kila kitu si kitu kidogo.

Hapo mpaka unamwona hivyo,unaweza ukakuta hela iliyo mtoka ni ndefu sana. Ukipata muda tafuta video YouTube za madaktari then utajua kwamba si swala dogo kuondoa hizo toxics makalioni.
 
Weka picha ya miss miami tumuone
Kwani hayo makalio fake hayakai milele?
 
Back
Top Bottom