thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,408
- 3,633
Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf
Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR.
Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya Iran.
Na ongezeko hili limetokea mapema tangu maandamano yaanze kwahio kama maandamano yakiisha tunaweza kutabili mambo mawili ambayo yote yataathiri fedha ya Irani.
1.Waandamanaji wafanikiwe kuiondoa serikali kisha waunde serikali mpya ambayo haina vikwazo vya kimataifa na uchumi imara,
Kwa laki moja yangu ya kibongo nikiziuza hizi Rial sikosi hata 20M kwa miaka miwili baade serikali ikiwa stable.
2. Maandamano yaishe, waandamanaji washindwe, lakini serikali ya Irani itahitaji kuendesha nchi kwahiyo shughuli za kiuchumi zikiendelea kuna uwezekano Rial ikarudi na value yake ya awali kabla then ikashuka au kupanda kutoka hapo ambayo ni USD 1 ku cost Rial 300k hadi 500k ,
Kwa laki moja yangu bado nitapata kama 355k , hivyo ni win win situation.