kama ungekuwa wewe?

kama ungekuwa wewe?

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Jamani wanjf kwa leo nimekutana na swali gumu kweli na nimekosa jibu lake,kama ungekuwa wewe ungejibu vipi?kaka kaliniuliza eti bro ungependa uwe dafu uchokonorewe,uwe nazi ukunwe,uwe shuka utandikwe,bazook utafunwe?hebu naomba help pliz ungependa uwe nini?
 
Hahahaha! Mimi ningependa niwe mchi, nitwange.
 
Jamani wanjf kwa leo nimekutana na swali gumu kweli na nimekosa jibu lake,kama ungekuwa wewe ungejibu vipi?kaka kaliniuliza eti bro ungependa uwe dafu uchokonorewe,uwe nazi ukunwe,uwe shuka utandikwe,bazook utafunwe?hebu naomba help pliz ungependa uwe nini?

Ningependa niwe Mkwezi nilichokonoe,
Niwe mkunaji niikune,
Niwe mtandikaji wa hilo shuka,
na niwe mtafunaji!!!
karibu...
 
Jamani wanjf kwa leo nimekutana na swali gumu kweli na nimekosa jibu lake,kama ungekuwa wewe ungejibu vipi?kaka kaliniuliza eti bro ungependa uwe dafu uchokonorewe,uwe nazi ukunwe,uwe shuka utandikwe,bazook utafunwe?hebu naomba help pliz ungependa uwe nini?

handbag nibebwe
 
hivi na kati ya mkuna na mkunwaji,mchokonolewa na mchokoaji muona RAHA nani???
 
wewe na huyo kaka yako mna lwenu......sisi hapa JF hatumo....hatutaki kesi.
 
hivi na kati ya mkuna na mkunwaji,mchokonolewa na mchokoaji muona RAHA nani???

very simple questim as to musticate a piece of cake ,yani mkunwaji anaskia oooh...aaah ,utaaaamu kunoga
 
Angaliya upo katika wakati mgumu usikaliye kuti kavu ukataporomoka? Achana naye na mpotezeee! Kwani, nilazima uchaguwe lolote, mwache huyo ni mpita njiya. Hawo ndiwo Mafataki! :msela:
 
Back
Top Bottom