Kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Mke: Naomba tuongee mume wangu
Mume: Ongea
Mke: Ni kuhusu huyu house girl wetu
Mume: Hilo ni tatizo lako, halinihusu
Mke:Ana mimba
Mume: Hilo ni tatizo lake, halinihus
Mke: Kasema ni yako
Mume: Hilo ni tatizo langu, halikuhusu
 
Huo ndio "uungwana" , kuwa mkweli kwa mwenza wako mpaka kifo kitakapowatenganisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom