Mirembe hakuna walinzi madhubuti!
Kweli mzururaji,sio Chombe ni CHUMBE ISLANDChombe mzee wangu
Sorry..... hiv ukiwa unatoka Zanzibar kuja Dar Uzee Mwisho wapi:??
Uzee utaishia pale mzee anapoamua kuwa kijanaSorry..... hiv ukiwa unatoka Zanzibar kuja Dar Uzee Mwisho wapi:??
Jukwaa la Elimu kule, thread moja unakuta ina coments 2-3, lkn huku kwenye upuuzi ndo kama hivi.
Nadhani katokea Pemba!kukaririr kubaya jamani angalia na huyu nae sijui katoka wapi
kwa hiyo na wewe umefata nini nitakupa nakozi bure umekomaaa utafikiri CHADEMAtukusaidie nini sista
Eapotiiii...
Jukwaa la Elimu kule, thread moja unakuta ina coments 2-3, lkn huku kwenye upuuzi ndo kama hivi.
uzee unaishia pale mnapoanza kutangaziwa kuwa mnakaribia kutua fungeni mikanda
inabidi wale watangazaji waongeze maneno "hi bebiz!sasa mmeingia dar"