Kama unataka kupunguza uzito

Kama unataka kupunguza uzito

Kuna siku Janab nilikuelewa sana. Alisema hiv ile chai ile ile kunywa saa sita, na kula mlo wa jioni saa 12.
Sasa nimegundua saa 5 mpk saa 6 nikitembea kidogo natoka jasho la kufa mtu.
Sasa nikiwa home ndiyo najizungusha majasho km mvua.
Alisema muda huo mwili unatafuta reserve ya mafuta kwenye mwili.
Nina km mwezi nafanya hivyo.
vipi unaonaje mwili ulivyokuwa mwepese na kupungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom