Kama unataka kupunguza uzito

Kama unataka kupunguza uzito

Skip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena

Achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga, yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
Asa unakula nn?
 
Ni kweli kabisa ,mazoezi hayasaidii kupunguza mwili kama hauna nidhamu kwenye msosi.

Kupungua ni 70% Msosi +30 % Mazoezi.

Ukitaka kupungua inabidi ukate 70% ya msosi.
 
download_-_2025-06-11T153416.489-removebg-preview.png
Acha hizo wewe!
 
Ni kweli kabisa ,mazoezi hayasaidii kupunguza mwili kama hauna nidhamu kwenye msosi.

Kupungua ni 70% Msosi +30 % Mazoezi.

Ukitaka kupungua inabidi ukate 70% ya msosi.
Mazoezi ni kuimarisha tu mwili mkuu,siyo kupungua...ndo maana kwa mtu anaye fanya Fasting hupungua vizuri kwa muda mfupi. Unaweza fanya mazoezi miezi sita ukakuta umeongezeka badala ya kupungua ama umepunguza kilo moja kwa miezi 6.

Fasting hasa ya masaa 72,kila wiki mara moja unakuta umeondoa kg 4
 
Nakubaliana na wewe ,ukitaka kupungua ni msosi ila wasiyo na uelewa ndiyo wanajua mazoezi yanapunguza mwili ,mazoezi yana faida nyingine kabisa na ni muhimu.
 
Sahihi mkuu..mazoezi yana faida tofauti kabisa mwiini ikiwemo kuimarisha Blood pressure...lakini hayapunguzi mwili.
 
Kuna siku Janab nilikuelewa sana. Alisema hiv ile chai ile ile kunywa saa sita, na kula mlo wa jioni saa 12.
Sasa nimegundua saa 5 mpk saa 6 nikitembea kidogo natoka jasho la kufa mtu.
Sasa nikiwa home ndiyo najizungusha majasho km mvua.
Alisema muda huo mwili unatafuta reserve ya mafuta kwenye mwili.
Nina km mwezi nafanya hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom