olewa/oa na mtu anayekupa furaha,ukiwa nae una Amani,
uking'ang'ania vitu vingine vitapotea,
shepu ukizaa watoto wawili watatu shepu kwishney labda uwe mtu wa discipline,mazoezi kidogo
..kama ni pesa,mke/mume wako anaweza kupata redundancy au ugonjwa ukampata akashindwa kutimiza majukumu yake,utamwacha???...
Kama ni sex,we as humans tuna limited cycle ya reproduction period,je outside this period,uta cheat??
ndio maana ndoa nyingi hazina Amani,
sababu mli act kwenye uchumba,
in reality mmekuta mambo sio kama mlivyotarajia,
huwezi ku fake kwa mtu unayelala nae,unaamka nae
kuwa na mtu ambae uko CONFIDENT kuwa anakusikiliza,mna maelewano,akikuudhi anajua,ukimuudhi unajua
hapo mtasikilizana mpaka uzeeni,
wengi hawajui kitu muhimu ni MAWASILIANO,