Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Teh teh..Mtoa mada atakuwa amevurugwa hasa...Hahahaaaa! yaani nimesoma comments nimeishia kucheka tu.
Hivi wanaume mnatuogopa kiasi hicho! Kama hupendi si umwambie tu mkeo asifanye hivyo? Mbona mimi Kaboom wangu huwa ananiambia kabisa mpenzi usifanye hivi na vile!!
Tena hapa mnaongea ila ndio mnaotoa hizo gharama zinazotumika kwenye hizo shughuli, ngachoka!!!
Kuna watu wameoa ma-Van damme na ma-Bolo yeung ati..Sasa unaanzaje kumkataza au kumkatalia akikuomba pesa..Inabidi utoe tu huku unaumia moyoni..Then hasira unakuja kuzimalizia Jf