Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,781
Hujui eeeh wanawala kishenziWanafaidi nini kwani huwa wanaenda mbali zaidi ya kusugua miguu na mapaja?
Hujui eeeh wanawala kishenziWanafaidi nini kwani huwa wanaenda mbali zaidi ya kusugua miguu na mapaja?
pouwa za kwakoCecilia mambo
Naomba atoto upite huku
Wengine tunasindikizwa na waume zetu kuoshwa miguu.....Kama ni mke wa mtu ndiye anayeenda kufanyiwa hayo, Namwonea huruma sana Mume wake.
Huyo boya naye ni mwanaume suruali hajielewi.Wengine tunasindikizwa na waume zetu kuoshwa miguu.....
Labda unasindikizwa na mvulanaWengine tunasindikizwa na waume zetu kuoshwa miguu.....
Apana Mkuu nimeshaona nakusikia mwanamme ana lalamika kua mkewe haendi kutengeneza kucha wala kusuka manake yeye anapenda mkewe afanye vitu hivyo na mwisho akawa anampeleka mwenyewe saloon, mimi nakwenda saloon lakini za wanawake manicure pedicure nafanya saloon ila rangi ya kucha au kubadika kucha sifanyi,nna mfanyie nyumbani ni mumewangu na watoto..Huyo boya naye ni mwanaume suruali hajielewi.
Ndio nasema hivii huyo anayejiita mwanaume na kumruhusu mkewe kwenda kupendezeshwa kucha huku akifunuliwa mapaja yake nje na nyumbani/ndani kwake Hajielewi.Apana Mkuu nimeshaona nakusikia mwanamme ana lalamika kua mkewe haendi kutengeneza kucha wala kusuka manake yeye anapenda mkewe afanye vitu hivyo na mwisho akawa anampeleka mwenyewe saloon, mimi nakwenda saloon lakini za wanawake manicure pedicure nafanya saloon ila rangi ya kucha au kubadika kucha sifanyi,nna mfanyie nyumbani ni mumewangu na watoto..
haahaha umekuja kitofauti hahah salutekiukweli mkikataza wake na watoto zenu wa kike nitakosa kwa kula mwenzenu jaman!!
BANGO
Nyie mnaopangia watu maisha ndo maboyaHuyo boya naye ni mwanaume suruali hajielewi.
Hayo ni maoni yao tu ila sio maisha ya watu wengine, mie sometimes nasindikizwa saloon na miguu inaoshwa na hela nalipiwa sasa hivi vikurumbembe humu ndo vije vianze kupiga mayowe wakati father house hana shida he he he ncheke ninenepe mieApana Mkuu nimeshaona nakusikia mwanamme ana lalamika kua mkewe haendi kutengeneza kucha wala kusuka manake yeye anapenda mkewe afanye vitu hivyo na mwisho akawa anampeleka mwenyewe saloon, mimi nakwenda saloon lakini za wanawake manicure pedicure nafanya saloon ila rangi ya kucha au kubadika kucha sifanyi,nna mfanyie nyumbani ni mumewangu na watoto..
Mbona umesahau wanaume kama wakina ray aka dokta maji, ni jangaHabari wanajamvi hasa wanaume wenzangu,
Mimi nashindwa kuelewa hizi tabia za dada zetu siku hizi, unakuta wanapanga foleni kuoshwa miguu na kukata kucha. Hivi mwanamke kama huyu anaweza hata kufua nguo zake mwenyewe au kumfulia mumewe?
Jaman tunakoelekea siko, mbona haya mambo zamani mama zetu hawakufanya?
Hebu wanawake jitazameni upya na nashangaa dume zima linamruhusu mkewe akaoshwe miguu na kucha, jamani hivi wanaume ameturoga nani au ndio uzungu?
Unakuta mwanamke makucha kama shetani hivi, mwanamke kama huyu anaweza hata kujitawaza vizuri au ndio mambo ya tishu!!!
Jaman hii hali sio nzuri, wanaume hebu tujitambue.
Hayo ya kufunuliwa mapaja tena mengine Mkuu,wanawafungua mapaja ili iweje? kwanza huyo anaefanya hivyo ni mwanamke au mwanamme?Ndio nasema hivii huyo anayejiita mwanaume na kumruhusu mkewe kwenda kupendezeshwa kucha huku akifunuliwa mapaja yake nje na nyumbani/ndani kwake Hajielewi.
Mwanamke kamwe hanyimwi kujiremba ila sio kwa upuuzi huo. Full stop.
Mie sioni tatizo at all,mie kwangu yupo mdada ana kuja nyumbani sema ana charge extra elfu 15 which is fine ukiangalia na Jam,anafanya mpaka waxing sioni tabu seuze kusafishwa miguu? zamani watu walikua wanatumia jiwa sasa maisha ya sikuizi jiwe kama la vijijini unaliweka wapi nyumba zenyewe hizi za sikuizi ...Hayo ni maoni yao tu ila sio maisha ya watu wengine, mie sometimes nasindikizwa saloon na miguu inaoshwa na hela nalipiwa sasa hivi vikurumbembe humu ndo vije vianze kupiga mayowe wakati father house hana shida he he he ncheke ninenepe mie
Hawa kila kitu cha wanawake kazi yao ni kurefer enzi za wamama enzi za wa mama wakati wao tukiwalinganisha enzi hizo hawafiki hata roboJaman tunakoelekea siko, mbona haya mambo zamani mama zetu hawakufanya?
Enzi za mama zetu ilikuwa miaka ya nyuma! ndio maana hata wewe leo hii una simu ya mkononi, unachat hapa lakini Enzi za mama zetu hayakuwepo hayo!
Ha ha ha umenikumbusha kijijini unatoka bafuni kuoga unaenda pengine kusugua miguu juu ya jiweMie sioni tatizo at all,mie kwangu yupo mdada ana kuja nyumbani sema ana charge extra elfu 15 which is fine ukiangalia na Jam,anafanya mpaka waxing sioni tabu seuze kusafishwa miguu? zamani watu walikua wanatumia jiwa sasa maisha ya sikuizi jiwe kama la vijijini unaliweka wapi nyumba zenyewe hizi za sikuizi ...
hahahahahah umenena vema Evelyn SaltHawa kila kitu cha wanawake kazi yao ni kurefer enzi za wamama enzi za wa mama wakati wao tukiwalinganisha enzi hizo hawafiki hata robo
Kazi kutizama tamthilia za ki Filipino tu kubaaaf enzi za wababa, baba anarudi nyumbani kashika mfuko mama anapokea enzi hizi zao wanarudisha pmb tu shwain eti enzi hizo kinamama hawakua na hayo mxyuuuu
Inaelekea hii kitu ia raha yake. Niliwahi mwona mdada akinawishwa miguu yaani akiguswa tu unyayo ni full kusisimka hadi chozi linamtoka.Kuanzia siku hiyo nikampiga ban wa kwangu.Hujui eeeh wanawala kishenzi