Kama unashindwa kuosha miguu yako mwenyewe

Kama unashindwa kuosha miguu yako mwenyewe

ijekuwa we ndie yule jamaa siku ile kanikuta nimeegesha miguu ya mkewe huku niko bize naifanyia scrub kiustadi akaninyanyua juu na kunipiga vibaya mnoo... hata kuniharibia vifaa vyangu vya kazi!
wakati mi sikuwa na nia mbaya..... bali nilikuwa ofisini kama madaktari na manesi wanavyokuwa kazini!!

BANGO
Sio mimi, Pole sana.

Kila kazi ina masaibu yake.
 
Maisha katika jamii yoyote ile duniani hayarudi nyuma hata ufanyeje.Na kwa ujumla miji mikubwa ndiyo inayoongoza kwa kuwa na styles nyingi za maisha na hivyo kufanya maisha ya mjini kuwa na fursa nyingi za kupata fedha.Kwa mfano vijjini mtu kusukwa nyele au kunyolewa yaweza kuwa ni huduma ya bure ambayo anaipata kutoka kwa rafiki / ndugu yake lakini mjini kwa mara nyingi ni kuilipia (fursa hiyo). Kijijini kama huna unga wa ugali waweza muomba jirani yako akakupa ukapika ugali wako ukala siku ikapita lakini mjini ni lazima ununue. Kwa ujumla tutake tusitake maisha ya mababu /mabibi zetu hayawezi kuwa maisha ya kwetu leo, hata sisi maisha yetu ya leo hayawezi kuja kuwa maisha ya wajukuu zetu miaka ya 2050 hivyo mabadiliko ni lazima.
 
Wengine ni ulimbukeni wa kuiga uzungu ujinga ili kuonekana wakisasa, kihalisia huu ni ujinga, kutokujitambua kwa mwanamke, kushikwashikwa miguu hadharani, ikiwa usafi wa miguu huwezi kuufanya chupi yako inarangi gani ya uchafu.
 
ulishawauliza hao wanawake kwanini wanafanya hivyo?
 
Habari wanajamvi hasa wanaume wenzangu mi nashindwa kuelewa hizi tabia za dada zetu siku hizi unakuta wanapanga foleni kuoshwa miguu na kukata kucha hivi mwanamke kama huyu anaweza hata kufuo nguo zake mwenyewe au kumfulia mumewe jaman tunako elekea siko mbona haya mambo zaman mama zetu hawakufanya hebu wanawake jitazameni upya na nashangaa dume zima linamruhusu mkewe akaoshwe miguu na kucha jamani hivi wanaume ameturoga nani au ndio uzungu unakuta mwanamke makucha kama shetani hivi mwanamke kama huyu anaweza hata kujitawaza vr au ndio mambo ya tishu jaman hii hali sio nzur wanaume hebu tujitambue
Biashara kubwa sana Arusha stendi ndogo
 
Me nkishamuona mdada na mikucha mirefuu huwa namshushaa thaman yoootee maaana hamna kituu hapooo#
 
Kama ni mke wa mtu ndiye anayeenda kufanyiwa hayo, Namwonea huruma sana Mume wake.
 
Leo nakunywa castle milk hapa mbeya yaan hizi story za papuchi zimenilazimisha kufanya kitu kibaya sana.

Dhambi hii na iwe juu yenu
 
  • Thanks
Reactions: irk
daaah mtoa uzi una roho ya kwanini haswaaaaa we uoni vijana wamejitafutia ajira au sio wote wanamuda wa kusugua miguu au kujipaka rangi vizuri
kingine wanaume wenye wivu kama wewe ni wachache haswaaa haswaa jiji la mwendo kasi
mbona nyie mnafanyiwa(kama unatumia saloon classic) hatulalamiki na ukirudi huna hata manywelenywele
 
Cecilia mambo
 
Back
Top Bottom