But nilitaka wahusika ndio wapewe njia hizo.
Niko na mchumba mim, najipimia tu.
Mwanaume mwenye ana hela ana mambo mengi sana inapunguza muda wa kuwaza vimada yeye hufikiria familia na mambo yake, zaidi wanawake ndo unakuta wanamsumbua
watu ambao hawana pesa ndo huwa wanamawazo kama haya...keep it up cjui unaongelea kuwa na maendeleo gani ambayo yatakufanya uishi daima kwenye huu ulimwengu....na watu kama nyie ndo wale mnakuja kuhangaika uzeeni na sketi za under 20. Tafuta pesa Fanya stareheehhe kulingana na pesa unazotafuta by the way kila MTU ana aina ya maisha anayopenda so sioni ajabu kama MTU anatumia pesa zake kuwanunua hao Dada poa cox katika maisha kuna kutegemeana yule ambaye tuna anauza nyapu nyumban kaacha familia inamtegemea...Ukijua kuwa muda mwingi unafikiria ngono,na huwezi ji-control kiasi unaenda kuchukua Malaya aka (Chips funga)
Kupata maendeleo Ni kazi...
Binadamu ana sifa kubwa ya kujihimili na kujimudu(self control)
...watu Kama wewe ndo kutwa hulalalmika ,wanawake hawavai vizuri kujistiri nk...hizo Ni dalili moja wapo
Kama simu lako limejaa ma video ya pono ...wewe Ni walewale
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaUki comment tu hapa tatzo, unaonekana ngono addicted.
Sio kweliMwanaume mwenye ana hela ana mambo mengi sana inapunguza muda wa kuwaza vimada yeye hufikiria familia na mambo yake, zaidi wanawake ndo unakuta wanamsumbua
Uongo vinaenda pamoja...namna Fulani ya walevi kuji comouflageInasemekana eti ukiwa mnywa pombe huwazi sana ngono tofauti na wasio wanywaji ndo starehe yao...ni kweli?
Ok,Sasa si ndio nimewapo tatizo unajistukia😂
Na wewe zitakufaa kipindi cha kutindikiwa🤪
Ok,
Sorry, wew ni me au ke?
Sipo kwenye topic ya mwanzo mm.Jinsi yangu inabadili uhalisia wa topic? “ke”
Ukumbuke kinga mkuu [emoji3]Nimekuja mbio nikijua wapenda ngono kuna afadhali imepatikana kumbe kelele za mlevi mmoja bwana aaargh [emoji51][emoji51]
Mkuu mchumba siyo mke, hivyo bado unajipimia ngono zinaa.But nilitaka wahusika ndio wapewe njia hizo.
Niko na mchumba mim, najipimia tu.
Siyo Tanzania tu. Ulimwenguni kote starehe kubwa na muhimu pia inayopatikana kirahisi na haraka zaidi kuliko nyingine zote ni starehe ngono. Hivyo watu wengi hasa maskini upenda na kuwaza ngono kuliko starehe nyingi zote.Kwa nchi kama Tanzania, usipopenda/kuwaza ngono utapenda/utawaza nini sasa!
Wewe umejuaje kuwa hawawazii ngono mpaka inapobidi?Hawana huo muda sana!hadi inapobidi!