Kama una mpango wa VETA PSV sikushauri

Doh yani nilikua na mpango wa kwenda kuchukua lena niende kujiunga pale VETA Chang'ombe. Je na wenzako mliomaliza pamoja nao hawajapata vyeti?
 
Nenda NIT ukafeli live bila chenga.
Mara kumi usubiri cheti kuliko ufelishwe!
Kwanini ni kozi ya wiki mbili?

Tatizo ni nini mpaka vyeti vichelewe kiasi hicho mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Doh yani nilikua na mpango wa kwenda kuchukua lena niende kujiunga pale VETA Chang'ombe. Je na wenzako mliomaliza pamoja nao hawajapata vyeti?
Kiongozi waliomaliza mwezi wa 1 ndio wamepata vyeti mwezi huu, bora NIT hata gharama ziko chin kuliko pale na vyeti vinawai

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom