Amesema kitu gani wewe chagua kimoja mkuu.Majani yenye kijani kibichi, Majani yaliyonyauka, Kipande cha Mti kilichonyauka na Nyoka
Nyoka mwenye mabaka ameingiza kichwa kweñye mjani taka/shimo.Mkia wake unaonekàna wazi upañde was kusini màshariki ya picha.
"Kama Unamacho Makali Nambie Hapo Umeona Nini??" Hicho ndo alichoandika mwanzisha Uzi, Je hayo maneno yako wewe umeyatoa wapi??Amesema kitu gani wewe chagua kimoja mkuu.
Kuza hii picha hapo chini kushoto kwenye hako ka fimbo karibu na huo weupe chini yake kuna panyahuyo panya mbona sisi hatumuoni, yuko upande upi mkuu??