Kama Unamacho Makali Nambie Hapo Umeona Nini??

Mtoa mada anawachizisha mtakondoa mimacho usiku wote, hamna kitu hapo...
 
Dah! Uzee haujawahi kubakisha macho salama. Yaani sijaona kitu kabisaa.
 
nimemuona bashite aka nyoka mpole mwenye sumu kali ingawa imenichukua muda kumbaini
 
Haihitaji macho makali kumwona huyo nyoka...ila yahitaji macho makini kuiona hiyo sindano ya kushonea
 
Back
Top Bottom