Kama Unamacho Makali Nambie Hapo Umeona Nini??

Kama Unamacho Makali Nambie Hapo Umeona Nini??

nyoka nimemuona ila bado sijaelewa kichwa kipo upande gani..
 
majani mabichi na makavu kipande cha kojiti na nyoka ila namuona mwisho tu siyon mwanzo
 
Duuu, nimejiona fala kweli, ila mtoa mada una elements za uchochezi

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mimi hapa nilipo naona watu na majengo. Sijui nyie hapo mlipo mnaona nini.
 
Hiyo inaitwa camouflage...na ndio jinsi wananasa mawindo yao au kukwepa maadui, na Mtu ukijichanganya ukamkanyaga unapewa kitu na box.
 
Back
Top Bottom