Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara.
Nawaletea product zifuatazo za mafuta:
1.
INDULEKHA HAIR OIL
yanasifika kwa kusaidia kuimarisha na kurudisha nywele zinazokatika au zinazotakakupotea au zilizopotea jinsia zote kike na kiume inafanya kazi.
Mafuta haya yanapatikana katika ujazo wa ml 100 na kuendelea.
Kwa wale wote wenye interest unaweza ukaweka order yako hapa au uka ni pm.
BEI NI KAMA IFUATAVYO
1. Chupa moja ml 100 itauzwa kwa Tsh. 20,000
2. Chupa mbili zenye jumla ya ml 200 zitauzwa sh. 39000
3. Chupa tatu za jumla ml 300 zitauzwa kwa sh. 58,000.
Mafuta haya yamewasaidia wengi ..nafikiri hautasita kuyajaribu.
2. JAMAICA BLACK CASTOR OIL
Haya ni mafuta halisi ya nywele ambayo yanasifika pia kwa kusaidia ukuaji wa nywele (hair growth) na yanafaa pia kwa jinsia zote. Kama wewe ni muhangaikaji nafikiri umeshawi yasikia haya mafuta nje na ndani ya Jamii forum.
BEI
A. Chupa ya ml 70 inauzwa kwa sh. 20, 000.
View attachment 622319
B. Chupa ya ml 118 inauzwa kwa sh. 52,000
View attachment 622320
3. OLDE JAMAICA BLACK CASTOR OIL
Chupa ya ml 120 kwa sh. 85000
View attachment 622323
4. HERBAL HAIR OIL (KHADI)
View attachment 622407 View attachment 622408 View attachment 622409
Product Description
This oil from Khadi contains rosemary and henna, which go a long way in curbing hair fall. It also helps prevent premature hair loss, baldness, split ends, and breakage. This oil works best for preventing hair fall and promoting hair growth. It is ideal for both women and men and does not contain any mineral oils or parabens.
Pros
- Light and non-sticky
- Conditions hair and makes it manageable
- Pleasant fragrance
- Stops hair fall
Rating
4/5
Most Suitable For
All hair types
Price
210 mls Kwan Tsh. 15,000
Ni hayo tu.