Mi sina ila dalili naziona.ngoja niusubscribe huu uzi kwa ajili ya baadae.ila muweke namba za simu.wengine hatutaki identity zetu zijulikane.bora uweke namba upigiwe.
Satthwa Premium Hair Oil
_____________________
Bei Tsh. 30,000 Kwa 100mls
FAIDA YAKE
1. Yanatumika kwa wanawake na wanaume
2. Yametengezwa kwa ajili ya wenye nywele zenye matatizo kama kujikunja, zilizoharibiwa na chemikali/ dawa, nywele zilizopoteza rangi.
3. Yanafaa kwa nywele za aina yote.
4. Yanatoa matokeo mazuri hasa katika kuzuia nywele kukatika, nywele kubadilika rangi, kukuzia nywele, kuzifanya zing'ae na kuwa na afya nzuri.
5. Matumizi ni mara mbili kwa week kwa miezi mitatu hadi minne ili kupata matokeo mazuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.