Kama una-upara na unakupa tabu pitia hapa.

Kama una-upara na unakupa tabu pitia hapa.

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara.
Nawaletea product zifuatazo za mafuta:

1. INDULEKHA HAIR OIL
yanasifika kwa kusaidia kuimarisha na kurudisha nywele zinazokatika au zinazotakakupotea au zilizopotea jinsia zote kike na kiume inafanya kazi.
Mafuta haya yanapatikana katika ujazo wa ml 100 na kuendelea.

Kwa wale wote wenye interest unaweza ukaweka order yako hapa au uka ni pm.

BEI NI KAMA IFUATAVYO

1. Chupa moja ml 100 itauzwa kwa Tsh. 20,000
2. Chupa mbili zenye jumla ya ml 200 zitauzwa sh. 39000
3. Chupa tatu za jumla ml 300 zitauzwa kwa sh. 58,000.
Mafuta haya yamewasaidia wengi ..nafikiri hautasita kuyajaribu.

2. JAMAICA BLACK CASTOR OIL
Haya ni mafuta halisi ya nywele ambayo yanasifika pia kwa kusaidia ukuaji wa nywele (hair growth) na yanafaa pia kwa jinsia zote. Kama wewe ni muhangaikaji nafikiri umeshawi yasikia haya mafuta nje na ndani ya Jamii forum.

BEI

A. Chupa ya ml 70 inauzwa kwa sh. 20, 000.
IMG-20171102-WA0001.jpg


B. Chupa ya ml 118 inauzwa kwa sh. 52,000
IMG-20171102-WA0002.jpg

3. OLDE JAMAICA BLACK CASTOR OIL
Chupa ya ml 120 kwa sh. 85000
IMG-20171102-WA0003.jpg


4. HERBAL HAIR OIL (KHADI)

Screenshot_20171102_114724.png
Screenshot_20171102_114657.png
Screenshot_20171102_114637.png

Product Description
This oil from Khadi contains rosemary and henna, which go a long way in curbing hair fall. It also helps prevent premature hair loss, baldness, split ends, and breakage. This oil works best for preventing hair fall and promoting hair growth. It is ideal for both women and men and does not contain any mineral oils or parabens.

Pros
  • Light and non-sticky
  • Conditions hair and makes it manageable
  • Pleasant fragrance
  • Stops hair fall
Rating
4/5

Most Suitable For
All hair types

Price
210 mls Kwan Tsh. 15,000




Kwa wale wanaotaka kuondoa mvi kichwani nakuletea options hizi tatu:
1. KHADI HAIR OIL
View attachment 623120

This hair oil has all the essential ingredients that help to stop hair from graying further. Rich with the goodness of Brahmi, Amla and Almond oil, the hair oil is perfect for controlling gray hair. It also has Vite oil that is good for the hair as well.
Bei 12,000 kwa 210 ml.

2. KESHIN THAILAM
View attachment 623121

This natural and herbal hair oil suits every hair type. Its natural ingredients nourish the hair and make it soft. It prevents premature graying of hair, thus making the hair look beautiful. The hair oil is also effective in treating dandruff and hair thinning.
Being 40,000 Kwa 125 ml.

3. Dhathri Hair Herbal Oil

View attachment 623122
This oil is very effective to stop the graying of hair. The main natural ingredient, Amla, helps to boost the color of hair by providing natural conditioning. It is totally natural and has no side effects on the hair. It can be applied on a daily basis.
Being 16,500 kwa chupa.


IMG_20171108_215048_750.jpg
IMG_20171108_215048_752.jpg

Satthwa Premium Hair Oil
_____________________
Bei Tsh. 30,000 Kwa 100mls
FAIDA YAKE
1. Yanatumika kwa wanawake na wanaume
2. Yametengezwa kwa ajili ya wenye nywele zenye matatizo kama kujikunja, zilizoharibiwa na chemikali/ dawa, nywele zilizopoteza rangi.
3. Yanafaa kwa nywele za aina yote.
4. Yanatoa matokeo mazuri hasa katika kuzuia nywele kukatika, nywele kubadilika rangi, kukuzia nywele, kuzifanya zing'ae na kuwa na afya nzuri.
5. Matumizi ni mara mbili kwa week kwa miezi mitatu hadi minne ili kupata matokeo mazuri
Ni hayo tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20171102_114637.png
    Screenshot_20171102_114637.png
    36 KB · Views: 77
  • IMG_20171108_144039_445.jpg
    IMG_20171108_144039_445.jpg
    43 KB · Views: 46
  • IMG_20171108_154825_506.jpg
    IMG_20171108_154825_506.jpg
    31.7 KB · Views: 36
Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara.
Kuna mafuta yanaitwa INDULEKHA yanasifika kwa kusaidia kuimarisha na kurudisha nywele zinazokatika au zinazotakakupotea au zilizopotea jinsia zote kike na kiume inafanya kazi.
Mafuta haya yanapatikana katika ujazo wa ml 100 na kuendelea.

Mimi nmepata bahati ya kuyapata na nimeanza yatumia pia thats why nimeona nisiwabanie taarifa.

Kwa wale wote wenye interest unaweza ukaweka order yako hapa au uka ni pm.

BEI NI KAMA IFUATAVYO
1. Chupa moja ml 100 itauzwa kwa Tsh. 20,000
2. Chupa mbili zenye jumla ya ml 200 zitauzwa sh. 39000
3. Chupa tatu za jumla ml 300 zitauzwa kwa sh. 58,000.
Mafuta haya yamewasaidia wengi ..nafikiri hautasita kuyajaribu.

Ni hayo tu.
Ndiyo umeanza kuyatumia! Kwa hiyo bado hujui ubora wake?
 
Mr. Mtui, hujtenda haki.

Matokeo yako chanya kabla, na baada ndiyo mwongozo au msaada wa wengine.

Review yako wewe kama wewe ndiyo uaminifu wa wengine.
 
Mr. Mtui, hujtenda haki.

Matokeo yako chanya kabla, na baada ndiyo mwongozo au msaada wa wengine.

Review yako wewe kama wewe ndiyo uaminifu wa wengine.
Ok nmekusoma...bt if kuna mtu ameshayasikia haya mafuta na anahitaji kuyajaribu hii ndiyo fursa..hii ni bei ya promotion
 
Hivi upara ni ugonjwa?
Upara sio ugonjwa hiyo ni ishara ya mtu kuwa na pesa au msomi ingawa vipo vipara vya aina mbali mbali mfano vipara vya kimasikini, hivi havina mngaro kabisa kisha vipo vya kitajiri;hivi wanavyo baadhi hasa mafisadi na wenye pesa nyingi vipara hivi vinamng'aro kama bati za Aluminium.kuna vipara vya wasomi hawa ndio ma-genius halafu vipo vipara vya wajinga jinga fulani utakuta nywele zimeota kwa mafungu. [HASHTAG]#TUSAMEHEANE[/HASHTAG] TU HAKUNA NAMNA
 
Mimi nmepata bahati ya kuyapata na nimeanza yatumia pia thats why nimeona nisiwabanie taarifa. Weka order yako hapa au uka ni pm.
Umeyapata wapi? Naona unataka kuwa supplier sasa...
 
Back
Top Bottom