- Thread starter
- #61
Akina Xi Ping utatusaidiaje na samasungi,nokla sunny zetu!
ina tatzo gan mkuu?
Akina Xi Ping utatusaidiaje na samasungi,nokla sunny zetu!
Mkuu simu yangu ni Sumsang GT-I9070,nikitaka kuweka call barring inagoma hata nikiweka password ya 1234 au 0000.Nimesha-reset phone zaidi ya mara mbili bt still the same.
Mkuu kwani ni lazima useme kama umeachiwa simu,ungekuwa umehongwa ungesema.wabongo tantalila sana
Nita unlock simu yako,kikubwa tupia model no.,imei,kupata imei bonyeza[*#06#] au *#0000#..au nicheki 768260834
Mimi NINA NOKIA ASHA 202 LAKINI HAIWEZI KUDOWNLOAD PDF HELP ME PLEASE
nina nokia e63,nikitaka kufungua link ya youtube inaload kisha haifunguki kisha kioo kinakuwa cheupe!pia wakati mwingine inasema nidownload flash player,nifanyeje mkubwaa
Nokia Asha hazina uwezo wa kufungua PDF ebooks kama zilivyokuwa nokia Symbian kama Nokia e71, e71x na e63. Ila kwenye OVI store kuna Apps mbalimbali za kusomea PDF files.
Mkuu kama una PC nyumbani, unatakiwa udownload Nokia PC Suite halafu u-connect na USB kisha una-update Phone Software. Software ikishafanyiwa UPDATE kila kitu kitakuwa up to date. Kwa maelezo zaidi jaribu ku-google.
aasante sana,wanaofuatilia wengi ila tunaocomment wachache,endelea kutupa elimuMkuu kama una PC nyumbani, unatakiwa udownload Nokia PC Suite halafu u-connect na USB kisha una-update Phone Software. Software ikishafanyiwa UPDATE kila kitu kitakuwa up to date. Kwa maelezo zaidi jaribu ku-google.
Mkuu Model number yake ni HSTNH-C01C COMPLIES WITH CANADIAN ICES-003 CLASS Bjaribu kuileta nilipo mkuu,..now i don't see tc code
Mkuu hebu nielekeze huyu Mwesiga anapatikana posta mitaa gani maana kuna simu yangu inazinguawewe fundi kimeo fundi mzuri ni mwesiga wa posta
"samsung" nafikiri ni clone ya ROKEA r1570 touch sometimes ina freeze,au kama ina akili zake mwenyewe kuandika ujumbe majanga,kupokea simu shughuli!ina tatzo gan mkuu?
Nita unlock simu yako,kikubwa tupia model no.,imei,kupata imei bonyeza[*#06#] au *#0000#..au nicheki 768260834