Kama una simu ya Nokia au Samsung yenye tatizo la software

inabidi ui restore fata hizi procedure restore factory by using *#7780# or*#7370# or press and hold call button,* and 3 at the same time...all the best.,ukishindwa unatakiwa uiflash
 
mimi simu yangu ni samsung galaxy gt 19070 inasumbua,haisomi usb cable wala kucharge ikiwa On mpk uizime ,niliwah kucharge na charger za kichina nahis ndipo tatizo likipo anza,ukiwachomoa charge inaendelea kuonyesha kama bado unacharge mpk utoe battery
enter *2767*3855 then alama ya reli>but all your data will be lost so you are adviced to cpy your contacts before starting operations OR Settings>privacy>facoy data reset>rese phone>erase everthing OR press both vol up +home +power on the press home only to confirm
 
kaka mimi natumia Nokia X2, ila sijui imeingia kitu gani ukipiga picha huzikuti kwenye gallery..ukiweka muziki au au ukitumiwa file lolote kinaonekana kinaingia lakini kwenye simu hukuti kitu...sijui unanisaidieje hapo?
restore factory by using *#7780# or*#7370# or press and hold call button,* and 3 at the same time...all the best.
 
nokia c3 ovi inagoma kila nikitaka ku upgred... Pia security code zake sisijui kila nikirestor inadai security code plz hlp
 
Mkuu simu yangu ni Sumsang GT-I9070,nikitaka kuweka call barring inagoma hata nikiweka password ya 1234 au 0000.Nimesha-reset phone zaidi ya mara mbili bt still the same.
 
Kaka mkuu nisaidie haraka
 
mimi simu yangu ni samsung galaxy gt 19070 inasumbua,haisomi usb cable wala kucharge ikiwa On mpk uizime ,niliwah kucharge na charger za kichina nahis ndipo tatizo likipo anza,ukiwachomoa charge inaendelea kuonyesha kama bado unacharge mpk utoe battery
mkuu kwa nilivyomuelewa hapo juu ni kwamba yeye anashughurika na matatizo ya software hilo la kwako ni hardware
 
Akina Xi Ping utatusaidiaje na samasungi,nokla sunny zetu!
 
Nita unlock simu yako,kikubwa tupia model no.,imei,kupata imei bonyeza[*#06#] au *#0000#..au nicheki 768260834
Aisee mkuu mimi nina simu nimeachiwa na jamaa yngu ni HP potable ya mkononi ambayo inatumia stick kwa ajili ya touch screen na ni Computer na simu lakini nikiweka line ya simu inakataa inasema inatakiwa ni unlock tafadhali nisaidie.
 
image.php
 
Mkuu mimi pia naomba msaada wako.simu yangu ni Alcatel, Imei:865331010030875 svn:010

01.Shida yangu ni kuunlock.[/

Mimi name simu yangu nokia ya slide na samsum ina tatizo lakuishiwa charge nimenunu betri mpaka nimechoka hata sasa nimeshindwa kusomea Namba maana haziwaki.
 
hata kama mi ni fundi kimeo,ndo mana sichukui ela za watu,am just helping,na weka tatzo la simu nifanye,nikishndwa ndo uniite kimeo poah?

Achana naye pimbi huyo, roho inamuuma unavyotoa maujuzi bure bila malipo.

Njaa inamsumbuwa.
 
Nokia yangu 6120c nkdowload whatsup inanambia memory low nfanyaje?kuihamishia whatsup kwenye memory card?
 
Aisee mkuu mimi nina simu nimeachiwa na jamaa yngu ni HP potable ya mkononi ambayo inatumia stick kwa ajili ya touch screen na ni Computer na simu lakini nikiweka line ya simu inakataa inasema inatakiwa ni unlock tafadhali nisaidie.

Mkuu kwani ni lazima useme kama umeachiwa simu,ungekuwa umehongwa ungesema.wabongo tantalila sana
 
Nokia yangu 6120c nkdowload whatsup inanambia memory low nfanyaje?kuihamishia whatsup kwenye memory card?

fanya hv,chukua simu ya m2 mwenye watsup then toa memory card weka kwenye cmu yako then i hamishie kwenye ur phon memory,then 2mia...ikigoma tambua ur phon doesn't run such apps
 
Aisee mkuu mimi nina simu nimeachiwa na jamaa yngu ni HP potable ya mkononi ambayo inatumia stick kwa ajili ya touch screen na ni Computer na simu lakini nikiweka line ya simu inakataa inasema inatakiwa ni unlock tafadhali nisaidie.

jaribu kuileta nilipo mkuu,..now i don't see tc code
 
Mkuu mimi pia naomba msaada wako.simu yangu ni Alcatel, Imei:865331010030875 svn:010

01.Shida yangu ni kuunlock.[/

Mimi name simu yangu nokia ya slide na samsum ina tatizo lakuishiwa charge nimenunu betri mpaka nimechoka hata sasa nimeshindwa kusomea Namba maana haziwaki.

angalia majbu niliyotoa juu,kuna jinsi ya kuchek ubora wa battery,xo try to chek it out
 
Back
Top Bottom