kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,370
- 617
Nina samsung galaxy trend.
1. Ukiiwasha inachelewa sana kusoma network.
2. Ukiwasha data inakuwa nzito sana na wakati mwingine inaganga kabisa mpaka uchomoe betri uwashe tena napo mpaka nusu saa ndio minara inasoma.
Labda hili tatito linatatulika?