Kama una simu ya Nokia au Samsung yenye tatizo la software

Kama una simu ya Nokia au Samsung yenye tatizo la software

kaka nisaidie

.
Hakuna msaada utakao kusaidia ndugu yangu..... Kutoka kwa huyo lugano
.
Ku unlock hizo series 40 kirahisi tu kama s60
na hata ukipata master code hazita work
.
Yaani huyo fundi hajui chochote kuhusu softwares za simu
.
Ebu angalia anatuwekea tricks za symbian kwenye s40 na lumia...
.
By baba bry:
Natumia Nokia lumia 620
nikidownload nyimbo inaonyesha
file doesn't supper.imei
no353663055185209
.
lugano5
restore factory by using *#7780#
or*#7370# or press and hold call
button,* and 3 at the same
time...all the best.
.
CHIEF MKWAWA sijui kama umewahi kuona hii trick kwenye lumia
.

Angalia hapa tena
.
By Ziroseventytwo:
yangu ni sumsung gt-E 2550
inatatizo la phone locked
.
lugano5
try to dial MASTER RESET
CODE:*2767*3855#
.
Sijui kama ana uhakika na anachokifanya
 
Last edited by a moderator:
.
Hakuna msaada utakao kusaidia ndugu yangu..... Kutoka kwa huyo lugano
.
Ku unlock hizo series 40 kirahisi tu kama s60
na hata ukipata master code hazita work
.
Yaani huyo fundi hajui chochote kuhusu softwares za simu
.
Ebu angalia anatuwekea tricks za symbian kwenye s40 na lumia...
.

.
CHIEF MKWAWA sijui kama umewahi kuona hii trick kwenye lumia
.

Angalia hapa tena

.
Sijui kama ana uhakika na anachokifanya
huyu fundi bora angetuambi kama hawezi kwani nimesubiri sana bila majibu.au aseme gharama zake;
 
Last edited by a moderator:
Kaka mimi ninashida na simu yangu lumia 820 nataka ku update hii simu msaada
 
Mkuu kwani ni lazima useme kama umeachiwa simu,ungekuwa --------- ungesema.wabongo tantalila sana

Pengine aliemuachia kuna settings aliweka, mtumiaji mpya hakutambua hilo nadhan ndo maana alijaribu ku-trace tangu ameipata.

Cheers!
 
nunua nokia n8 nyote mnaosumbuka na simu hamtaona matatizo tena
 
Natumia nokia E71. Nataka ni format kila kitu. Imei number ni 356059031377415
 
1. Ndugu yangu ana Siemens C25, inaweza kukamata internet? 2. Nina Nokia N72 nahitaji original housing, memory card original na matengenezo kadhaa-uko wapi?
 
Mkuu yangu Nokia 311 nataka kufuta kila kitu kasoro password yangu nimesahau
 
Nina Nokia E5;-

1. Inakula chaji kwa masaa 4 tu tofauti na mwanzo hadi siku 3.

2. Nataka niwe napiga screenshoot.

IME 358631041514050
 
Back
Top Bottom