Kama una sifa zifuatazo, nakuhitaji kwa hali na mali, karibu tuyajenge

Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:

Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:

SIFA ZA NJE
Hizo sifa zote huwez mkuta singo kaka..
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:

Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:

SIFA ZA NJE
Dadeki kachukue leseni uumbe wa kwako mwenyewe 😀😀
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:

Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:
Unatafuta kisichokuwepo na hakiwezi kuwepo.

Mwisho
 
Kwa hizo sifa unaonaje ukitengeneza wako
 
mbona kama unatafuta wanawake zaidi ya kumi kwa wakat mmoja.
ukitaka mmoja mwenye sifa zote hzo nenda japan wkutengenezee roboti lako na unahitajika uwe na pesa ya maana sio kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…