kama una receiver ya mpeg4 HD chungulia

kama una receiver ya mpeg4 HD chungulia

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
892
Reaction score
86
Inawahusu wenye HD receiver FTA

Eutelsat 36e {11919H27500} pata ss3HD na mntHD changamuka FTA wajanja wa kuchakachuwa pata HD zote bila chenga
 
Nimezipata zaidi ya wiki sasa, vipi hapa hamna mashushu wa dstv
 
Hii tayari mmeliwa. meneja masoko wa DSTV Bongo "ZERUZERU FEKI" kesha iona. Sijui kama mtaziona hadi Jumamosi.
 
Hii tayari mmeliwa. meneja masoko wa DSTV Bongo "ZERUZERU FEKI" kesha iona. Sijui kama mtaziona hadi Jumamosi.


Wazoefu haina shida kwangu kuna dishi 5 elonib 12
Chanel hazipungui 3000
 
Back
Top Bottom