Kama una pumzi ndogo usithubutu kabisa utakufa kibudu.

[emoji16][emoji16][emoji16] ila ungeanza inabido ufanyiwe upasuaji wa vihifadhia iyo manii ya kutoka zaidi ya dakika moja.

MATANGO POLI ....
 
Mchawi huyu achana naye, huenda naye ameamriwa kufanya research.
 
NDUMBA NANGAI, NDUMBA NANGAI (tulivyokuwa tukidanganywa enzi za mazingaombwe shuleni, kumbe maana yake HAWARA YANGU!!)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bao linatoka kwa limit mzee ukizidi hiyo limit unakufa bali kutokana na wanasayansi baadhi wanasepa unapokuwa unamwaga ukizuia oxygen isifike kwa wingi kwenye ubongo na muda unaongezeka kidogo
 
Aisee, bila shaka wewe ni mganga Wa jadi, angalia ushauri wako watu wakishikwa uchawi huko hayaa
 
Nimejaribu kupitia hayo maneno labda nione kama yana relate na maneno ya tiba asilia kutoka Kongo ila sijaambulia. Acha kuwalisha matango mkuu.. Kwenye Abracadabra za kikongo hakuna maneno hayo
Hello Davinci ,habari ya siku Nyingi?
 

HAHAHAHAH!!!!!! Aiseee, Nimecheka ki-mbwa
 
Nimejaribu kupitia hayo maneno labda nione kama yana relate na maneno ya tiba asilia kutoka Kongo ila sijaambulia. Acha kuwalisha matango mkuu.. Kwenye Abracadabra za kikongo hakuna maneno hayo
Abracadabra maana yake nini Boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…