Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Utafiti uliofanywa katika nchi za Botswana, Kenya na Uganda zimebaini ya kuwa wapenzi wanaoishi na waathirika wa vvu wanaweza kujikinga kwa maambukizi ya vvu kwa kumeza kidonge kimoja kila siku cha kuzuia maambukizi tajwa.
Antiretroviral drugs can help the partners of people with HIV protect themselves from infection. Photograph: Susan Sterner/Associated Press
matumizi ya mipira ya uzazi yaelekea kugonga ukuta kutokana na mila na desturi kuchochea kujaamiana asilia.................
Hivyo matumizi ya vidonge tajwa yaelekea kutoa matumaini ya kuzuia maambukizi kwa wapenzi wasioathirika ambao wanaishi na wathirika kwa angalau asilimia 63.........
kwa maoni yangu ni vyema hii tiba ya kinga ikachanganywa na matumizi ya soksi ili kuongeza kuzuia maambukizi tajwa.....................asilimia 63 ni kubwa lakini hazitoshi..............................