Kama una mpenzi aliyeathirika na VVU usihofu kwani ipo kinga..............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Utafiti uliofanywa katika nchi za Botswana, Kenya na Uganda zimebaini ya kuwa wapenzi wanaoishi na waathirika wa vvu wanaweza kujikinga kwa maambukizi ya vvu kwa kumeza kidonge kimoja kila siku cha kuzuia maambukizi tajwa.

Antiretroviral-drugs-007.jpg

Antiretroviral drugs can help the partners of people with HIV protect themselves from infection. Photograph: Susan Sterner/Associated Press

matumizi ya mipira ya uzazi yaelekea kugonga ukuta kutokana na mila na desturi kuchochea kujaamiana asilia.................

Hivyo matumizi ya vidonge tajwa yaelekea kutoa matumaini ya kuzuia maambukizi kwa wapenzi wasioathirika ambao wanaishi na wathirika kwa angalau asilimia 63.........

kwa maoni yangu ni vyema hii tiba ya kinga ikachanganywa na matumizi ya soksi ili kuongeza kuzuia maambukizi tajwa.....................asilimia 63 ni kubwa lakini hazitoshi..............................
 
kama ukitembea na muathirika,kuna dose ya dawa unapewa ya kukinga maambukizi,ila isizidi 24 hours.ni kama morning after pill.{sijui kama tz wanafanya hivyo}ila hizo dawa zina side effect mbaya,utaumwa kiasi fulani,jee na hizo dawa zina side effect gani?
 
kama ukitembea na muathirika,kuna dose ya dawa unapewa ya kukinga maambukizi,ila isizidi 24 hours.ni kama morning after pill.{sijui kama tz wanafanya hivyo}ila hizo dawa zina side effect mbaya,utaumwa kiasi fulani,jee na hizo dawa zina side effect gani?

hizi mpya wenyewe wansema hazina madhara makubwa kama hii midabadwa iliyopo kwenye soko la madawa.............
 
kama ukitembea na muathirika,kuna dose ya dawa unapewa ya kukinga maambukizi,ila isizidi 24 hours.ni kama morning after pill.{sijui kama tz wanafanya hivyo}ila hizo dawa zina side effect mbaya,utaumwa kiasi fulani,jee na hizo dawa zina side effect gani?

labda niwanukuu wenyewe tuone wanasemaje.....................

The drugs have few side-effects, which is important if they are to be given to healthy individuals. Both are made by Gilead, which has licensed their manufacture to generic companies in the developing world, allowing them to produce cheap copies – so this is a relatively inexpensive intervention.
 
na hapa wamejigamba........................

"This is a major scientific breakthrough which re-confirms the essential role that antiretroviral medicine has to play in the Aids response," said Michel Sidibé, Executive Director of the Joint United Nations Programme on HIV/Aids (UNAids). "These studies could help us to reach the tipping point in the HIV epidemic."
 
Ok je ni kwa muda gani toka umeze inaweza fanya kazi. Mi najua kuna dawa amabayo mtu aweza pewa ndani ya masaa 24 toka apate exposure au ahisi amepata exposure ya VVU. Lakini dawa hiyo sharti upimwe ili wajue kuwa umeathirika kabla ili wajue kuwa unatakiwa uanze kutumia dawa au Lah.
 
Nimesikiliza hii habati na kuifuatilia kwa ukaribu... from what i understand ni kua hizo ARVs mara nyingine hua chache na ni very expensive as much as zinagaiwa bure.... sasa hapa kwa kutangaza hili walioathirika... wasio athirika watataka... imagine the demand!! I am really hoping wamejipanga vya kutosha maaana isije kukuwa na ukame wa ARVs hali wagonjwa ndio wanahitaji... Na itakuaje? kwamba watatumia vigezo gani? woote bure walioathirika na wasio athirika?
 
Nani atamfunga paka kengele?

Sorry, nilimaanisha ni mtanzania gani asie na maambukizi umwambie afanye mapenzi na mwenye vvu kisa unafanya majaribio ya kidonge?
 
hizi mpya wenyewe wansema hazina madhara makubwa kama hii midabadwa iliyopo kwenye soko la madawa.............

Ahsante sana Ruta kwa kuleta hii info humu ndani. Ila hizi dawa siyo mpya, ziko sokoni miaka mingi tu na kuna wagonjwa wengi tu ambao wanazitumia kwa matibabu. Sababu ya kuwa na side effects chache ni kwamba mtu anatumia kidonge kimoja au viwili kwa siku. Kumbuka kwamba kwa kutibu mgonjwa anatumia vidonge siyo chini ya vitatu mara mbili au tatu kwa siku, na hivi vidonge ni aina tatu au zaidi tofauti. Ndiyo maana wagonjwa wanapata side effects nyingi kuliko hawa wanaovitumiia kwa kinga. Natumaini nimeeleweka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom