excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,958
Na wewe umeamua kumfanyia umbea?
no way mkuu! otherwise uje na vivid evidence with examples! lol..
hako si kaswali tu ambako kanaulizwa kokote kule duniani!
Na wewe umeamua kumfanyia umbea?
hm!tena vina masharti mazito ambayo yanaweza hata kuudhalilisha utu wake.
Usaidiweje kwa mfanoKijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..