Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,248
- 69,819
Nilikuwa Hospital Ya Mkoa Dodoma Nikakutana Na Mtoto Miaka 3 Akiwa Na Mama Yake Kavimba MashavuKuna ambao hatuna 40 ila maisha magumu tuliyonayo tunalazimika kuzingatia ushauri huu. Thanks Pdidy
Nilipomuuliza Mama Yake Akasema Anasumbuliwa Na Figo
Tuchukue Tahadhali Inapobidi Ila Mtoto Alizaliwa Na Hayo Maradhi Ni Tangu Tumboni