FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,638
- 4,210
EA RADIO na EATV ni brand kubwa afrika mashariki.
mimi hapa nazungumzia ea radio, sababu ni radio ninayo isikiliza muda mwingi.
Mtu mwenye koneksheni pale ea radio awaambie waache uvivu.
Kipindi cha uganda centro kinachoanza 14:00 - 15:00 kila jumamosi kipewe heshima kama vipindi vingine.
Hicho kipindi ni maalumu kwa ajili ya kucheza nyimbo za uganda,
ajabu ni kuwa kila jumamosi nyimbo ni zile zile.
Kwa akili ya kawaida kabisa hawa jamaa wamerekodi play list yao, na kila jumamosi ikifika inaweka hiyo hiyo memory card yenye hizo nyimbo.
KILA SIKU ZINACHEZWA NYIMBO ZILE ZILE?
ACHENI UJUHA VIJANA WA HAPO EA RADIO,
HICHO KIPINDI MKIPE HESHIMA KAMA VIPINDI VINGINE.
HAIWEZEKANI UGANDA YOTE ILE NA WASANII WOTE WALE ILA KILA KIPINDI MNAWEKA NYIMBO ZILE ZILE?
Tbc wenyewe hawafanyi hayo siku hizi,
sasa nyie na ujanja wote huo lakini mnatuwekea memory kadi, kweli?
Kazi imewashinda vijana.