Kama una conection na mtu yeyote wa pale East Africa Radio njoo soma hapa!

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Mar 13, 2019
1,638
4,210
EA RADIO na EATV ni brand kubwa afrika mashariki.
mimi hapa nazungumzia ea radio, sababu ni radio ninayo isikiliza muda mwingi.
Mtu mwenye koneksheni pale ea radio awaambie waache uvivu.
Kipindi cha uganda centro kinachoanza 14:00 - 15:00 kila jumamosi kipewe heshima kama vipindi vingine.
Hicho kipindi ni maalumu kwa ajili ya kucheza nyimbo za uganda,
ajabu ni kuwa kila jumamosi nyimbo ni zile zile.
Kwa akili ya kawaida kabisa hawa jamaa wamerekodi play list yao, na kila jumamosi ikifika inaweka hiyo hiyo memory card yenye hizo nyimbo.
KILA SIKU ZINACHEZWA NYIMBO ZILE ZILE?

ACHENI UJUHA VIJANA WA HAPO EA RADIO,
HICHO KIPINDI MKIPE HESHIMA KAMA VIPINDI VINGINE.
HAIWEZEKANI UGANDA YOTE ILE NA WASANII WOTE WALE ILA KILA KIPINDI MNAWEKA NYIMBO ZILE ZILE?
Tbc wenyewe hawafanyi hayo siku hizi,
sasa nyie na ujanja wote huo lakini mnatuwekea memory kadi, kweli?
Kazi imewashinda vijana.
 
Uganda ina nyimbo za kutosha, cha ajabu kila jumamosi ninapo tune kwenye radio yenu nakutana na nyimbo zile zile nilizozisikia mwezi jana, wiki jana, mpaka kero.
 
Mi
EA RADIO na EATV ni brand kubwa afrika mashariki.
mimi hapa nazungumzia ea radio, sababu ni radio ninayo isikiliza muda mwingi.
Mtu mwenye koneksheni pale ea radio awaambie waache uvivu.
Kipindi cha uganda centro kinachoanza 14:00 - 15:00 kila jumamosi kipewe heshima kama vipindi vingine.
Hicho kipindi ni maalumu kwa ajili ya kucheza nyimbo za uganda,
ajabu ni kuwa kila jumamosi nyimbo ni zile zile.
Kwa akili ya kawaida kabisa hawa jamaa wamerekodi play list yao, na kila jumamosi ikifika inaweka hiyo hiyo memory card yenye hizo nyimbo.
KILA SIKU ZINACHEZWA NYIMBO ZILE ZILE?

ACHENI UJUHA VIJANA WA HAPO EA RADIO,
HICHO KIPINDI MKIPE HESHIMA KAMA VIPINDI VINGINE.
HAIWEZEKANI UGANDA YOTE ILE NA WASANII WOTE WALE ILA KILA KIPINDI MNAWEKA NYIMBO ZILE ZILE?
Tbc wenyewe hawafanyi hayo siku hizi,
sasa nyie na ujanja wote huo lakini mnatuwekea memory kadi, kweli?
Kazi imewashinda vijana.
Mie sioni sababu ya malumbano wala kuwakejeli, wewe unawajua wasanii wa Muziki wa Uganda, nunua flash, jaza nyimbo usikilize. Yawezekana hizo nyimbo wanazopiga wana mikataba au makubaliano na hao wasanii. Redio na TV zina utaratibu maalum wa kupiga nyimbo tofauti na majumbani.
Yaaani karne hii bado kuna watu wanasubiria redio ili kusikiliza nyimbo na miziki?, Basi download hata You Tube usikilize. Hao wana fixed list waache waicheze hiyo hiyo.
 
Ingekuwa jamii yote ingekuwa na akili za matope namna hii uliyonayo, watu tusingekuwa tunanunua tv ving'amuzi.
Wewe unadhani kila mtu ana uwezo mdogo wa kufikiria kama wewe?
Mtu anaenda cinema kuangalia film ya The lion king, wakati nyumbani anayo tv kubwa tu ya kutosha,
kwanini asibaki nyumbani na aitafute hiyo lion king akaiangalia ndani kwake?
Mkuu una mawazo ya kijinga sana mpaka nimekosa jibu sahihi zaidi la Kukujibu kuendana na wewe,
Labda niseme tu "POLE"
 
EA RADIO na EATV ni brand kubwa afrika mashariki. mimi hapa nazungumzia ea radio, sababu ni radio ninayo isikiliza muda mwingi. Mtu mwenye koneksheni pale ea radio awaambie waache uvivu. Kipindi cha uganda centro kinachoanza 14:00 - 15:00 kila jumamosi kipewe heshima kama vipindi vingine. Hicho kipindi ni maalumu kwa ajili ya kucheza nyimbo za uganda, ajabu ni kuwa kila jumamosi nyimbo ni zile zile. Kwa akili ya kawaida kabisa hawa jamaa wamerekodi play list yao, na kila jumamosi ikifika inaweka hiyo hiyo memory card yenye hizo nyimbo. KILA SIKU ZINACHEZWA NYIMBO ZILE ZILE? ACHENI UJUHA VIJANA WA HAPO EA RADIO, HICHO KIPINDI MKIPE HESHIMA KAMA VIPINDI VINGINE. HAIWEZEKANI UGANDA YOTE ILE NA WASANII WOTE WALE ILA KILA KIPINDI MNAWEKA NYIMBO ZILE ZILE? Tbc wenyewe hawafanyi hayo siku hizi, sasa nyie na ujanja wote huo lakini mnatuwekea memory kadi, kweli? Kazi imewashinda vijana.
Mbona sawa na kipindi cha Radio One cha kuruka majoka Jumamosi saa sita mpaka saba, nyimbo zilizile mwaka mzima. Sawa wanapewa Usupa Brandi na mjomba wao lakini hawastahili.
 
Mi
Mie sioni sababu ya malumbano wala kuwakejeli, wewe unawajua wasanii wa Muziki wa Uganda, nunua flash, jaza nyimbo usikilize. Yawezekana hizo nyimbo wanazopiga wana mikataba au makubaliano na hao wasanii. Redio na TV zina utaratibu maalum wa kupiga nyimbo tofauti na majumbani.
Yaaani karne hii bado kuna watu wanasubiria redio ili kusikiliza nyimbo na miziki?, Basi download hata You Tube usikilize. Hao wana fixed list waache waicheze hiyo hiyo.
Nakazia
 
Back
Top Bottom