Kama una chumba kimoja tumia ubunifu huu

Kama una chumba kimoja tumia ubunifu huu

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,160
Kwa hisani ya wabunifu wa kichina hawashindwi kitu.

Unaweza ukatengeneza kitanda cha juu cha chuma au kama ni yako unafunga juu ya zege kitanda then chini ya kitanda unaweka dining table, au masofa au studying place kwa watoto wako.

Unakuwa umesave space ya room yako namna gani,hii imeenda.

Mafundi ubunifu sio lazima kwenda Veta,geuza simu yako kuwa Veta.

Screenshot_20250412_084403~2.jpg


Screenshot_20250412_084500~2.jpg


Screenshot_20250412_084326.jpg
 
Kufanya hivyo,chumba kinatakiwa kiwe kwenye kiwanja chako,au mwenye vyumba awe ameshafanya mwenyewe.wewe ni kuingia tu na begi lako!
Unaweza ukatengeneza cha kuhama nacho unaweka bomba nguzo kwa chini za kufungua na kufunga
 
Back
Top Bottom