Kama umependa wimbo huu........

maimuna

Member
Apr 25, 2008
23
4
soooooooooooooo boring, yani tena nyimbo zenyewe basi hata kama umependa unakatizwa starehe na huyo mdada anaesema kama umependa wimbo huu bonyeza nyota, bora angesubiri mpaka wimbo unapoisha ndo atoe meseji
 
Hizo ni mbinu za wizi ili kulipizia garama ndogo walizoweka ktk kupiga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom