Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

Dunia ina watu billion 7 mkuu, kwanini tuachane halafu nikupe tunda? Si ex tu mie siwezi tembea na Shemeji, au mtu yeyote aliyewahi kuwa karibu na mwanaume wangu wasasa au wazamani.

Nina dhambi zangu na hii si mojawapo.
One in a million, atleast wewe umekiri kabisa huwezi tembea na EX lakni unaweza switch mtu kitu ambacho ni kawaida.
 
Naona vijana wameshakata tamaa. Huu uzi wa tano kama sikosei kutuhusu sisi wenye ndoa zetu.

Shida ni kuwa sisi wengine tuna majibu ya uhakika kuhusu hizi changamoto za ndoa,kuliko nyinyi msio kwenye ndoa na wengi wa walio kwenye ndoa.

Nina mpango wa kuongeza mke wa tatu hivi karibuni.
 
Mbona wanaume JF mmekua waoga wa mahusiano kiasi hiki??
Yaani mpaka inakera, unajiuliza hawa ni wanaume kweliii ama?? Mtu unaooogoopa kama ikishayokea hivyo basi ndo mwisho wa maisha yako.

Hapa tatizo kubwa ni vijana kuwaza sana uzinzi kuliko kusaka doo, kutwa kucha mtu kama huyu anawaza ni nani na nani watamuibia kadem kake, afanye nini demu wake asiibiwe, atumie mundende au alkasusu mchezoni.

Mkuu achana na hayo mawazo, kama mkeo ni mzinzi ni mzinzi tu hataacha, kwahiyo achana na mawazo kama hayo kua nani na nani watapiga.
 
Back
Top Bottom