Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 545
- 806
Sijafika chuo..Ulisoma kozi gani mkuu? Chuo gani?
Sijafika chuo..Ulisoma kozi gani mkuu? Chuo gani?
Real? Ni kwa nia njema tu kaka.Sijafika chuo..
Yaani jinsia yenu kwa kujikuta wakamilifu zaidi ya Malaika
Naelewa mkuu.. ila siwezi kukudanganya pia! Labda ningependa kujua kwanini umeuliza hivyo?Real? Ni kwa nia njema tu kaka.
Jina lako limenishangaza, huwezi kujiita jina hilo halafu usiwe msomi, never! Lazima utakuwa msomi tu, tena hata daktari.Naelewa mkuu.. ila siwezi kukudanganya pia! Labda ningependa kujua kwanini umeuliza hivyo?
Kama yako mkuuKwani mleta mada ana jinsia gani?
Hahahah, nilijiita hivyo kwa sababu Na-wish kuja kuwa prof siku moja, ila bado sijafikia level hiyo! Na kielimu changu kiduchu tu.Jina lako limenishangaza, huwezi kujiita jina hilo halafu usiwe msomi, never! Lazima utakuwa msomi tu, tena hata daktari.
Kama yako mkuu
NenoToo much fear mongering
Utafear vingapi dunia hii?Na itakusaidia nini?
Maana uwe na fear nao au usiwe nao husaidii lolote
Reject fear ni kupoteza muda..kama mwanamke ameamua kufanya hayo nothing you can do
Utakufa siku si zako..what for?
Just leave her alone,and mind your life...Wala usitake kujua anything for the sake of your body pressure,cholestral,etc
Wewe timiza wajibu wako,akichepuka hiyo huna nayo control,labda umshike then you dump her out.
Thats the formula!
Heee wewe mbona mtatuua nyie jamni..mana kila kitu mnatusingizia..kha😳
Nyie ndo mnafanyaga wanaume wakate tamaa waone wanawake wote ni wazinifu kisa nyie mpo benet na manungayembe.
Wanawake wasiojithamini na wasiojua purpose zao maishani ni nini lazima watembeze mbususu mbegeres mtaa mzima, kazini na kwa ma ex wao.
Surround yourselves with good women na bila shaka mtajifundisha mengi sana kuhusu Mwanamke, just how smart and powerful we are.
Niambie kitu ambacho sikijui. Hayo yote uliyosema nayajua tayari.Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.