Kama umeoa au haujaoa take this

Kama umeoa au haujaoa take this

Naunga mkono hoja.... Jana nimeona documentary ya jamaa alifungwa bahamas kimakosa miaka 6 akaachiwa kawashitaki akashinda dola milion 1.1 wakilia akatoa yake akabaki na kama dola laki 7. Jamaa ni mkenya kakaa huko miaka 23 akitafuta maisha... Ile ela akawambia home fungua akaunti joint mama na dasa yake wa mwisho kisha akaihamishia humo ili arudi aikute. Huwezi amini mama yake na dada yake wameipiga hiyo pesa.
Jamaa amerudi wamemtelekeza akienda wadai wanamwitia polisi. Ana maisha magumu mno wao wamenunua magari na majumba ile story imeniuma sana
Za Gen Z zina formula wanajitambua Vibaya mno wako sharp
 
Aaahhh siwezi kabisa nashindwa yani siku hizi siwezi.
Miezi kadhaa nikam date single mother mmoja hivi,she is well of, aisee sijui ule ulikua mtego au vipi, ila alipoona nazikataa sana issue za pesa zake directly, akaanza kuzileta mfumo wa vijizawadi vya hapa na pale.
Nikampiga chini
Furahia maisha mkuu maisha kunawatu mioyo yao ni kutoa pasipo kujaki hadhi au jinsia yake

Sie tuliochagua upande tunazitumia maana pia tunazitoa
 
Back
Top Bottom